Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Msifanye makosa kuchagua kiongozi kwa kujaribu, mtapoteza miaka mitano bure!

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Msifanye makosa kuchagua kiongozi kwa kujaribu, mtapoteza miaka mitano bure!

Talk to your neighbor, mwambie chenga mbili asijione top juu ya Neymar
 
Watanzania wajiandae kwa miaka 5 migumu. Miaka 5 iliyokwusha wamelimia meno. This time around sijui watalimia nini!?
 
Nilijua tu, kauli kama hizi lazima ziwape shida hata na wana CCM wenyewe.

Ni kauli za hovyo, ni kana kwamba Magufuli anataka kurudisha taifa kwenye siasa za chama kimoja.

Hii haikubaliki kabisa na sio sawa
Tatizo yeye anajiona amesha chaguliwa kumbe bado. This time pombe inamwagwa apende asipende.
 
Amegundua upepo sio mzuri sasa anatumia vitisho.

Alaf ingetokea watumishi nao wanaishi sehemu moja na akaenda kuwaomba kura siku wangemkera hata kula angesusa maana hajui walivyo na hasira nae siku hiyo hiyo angetoa amri watumishi wasitishiwe mishahara [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo mlimuaminisha upinzani umekufa akaacha kuandaa Sera. Anatutia aibu kwakweli hatuwezi kua na Rais mwenye upeo mdogo kiasi hicho.
 
Ivi ndio katiba yetu inasema ukichagua chama tofauti na kinachoongoza dola ni halamu kupelekewa huduma za kijamii na maendeleo? Na usipolipa kodi katika maeneo hayo unakuwa muhaini?

Yaani ulipe kodi ila maendeleo kwako hayaji na vyombo vya sheria vuko kimya?
Maendeleo yana chama...
 
Unavyosema "Kauli kama hizi zikitoka kwa Mgombea wa Chama changu ( tena Rais ) sasa zinaweza kutupa Kazi ngumu Sisi tunaompenda na Kumpigia Kampeni"

unamaana kuwa hiyo ndio mara ya kwanza kutoa kauli za kibaguzi kama hizo?

Hiyo ishakuwa ni kawaida yake.

Anasema hivyo halafu unamsikia anahitimisha kwa kusema "nyaenyeleo hayanya gnyama"
 
kumchagua magufuli ni kuchagua majuto.
Hii Mh. Lissu tunaomba uwafafanulie raia.

hataki kupangiwa majukumu yake na sisi asitupangie katika jukumu letu la kuchagua.
 
Ulichoandika hakiwezekani kutokea hadi siku dunia inafika mwisho wake.
Never say never mwanawane maisha yanaenda haya. Joshua Nassar alipokua anasema "kidumu chama cha mapinduzi" aliongeza maneno pale mbele kwamba sikuwahi kutegemea katika maisha yangu kutamka maneno haya...
 
Nilijua tu, kauli kama hizi lazima ziwape shida hata na wana CCM wenyewe.

Ni kauli za hovyo, ni kana kwamba Magufuli anataka kurudisha taifa kwenye siasa za chama kimoja.

Hii haikubaliki kabisa na sio sawa

Naendelea 'Kusisitiza' tena hapa kuwa tafadhali sana Wasaidizi wa Rais na Mwenyekiti wa CCM Dkt. Magufuli msaidieni katika Kutoa tu 'Kauli' zake.
 
Ivi ndio katiba yetu inasema ukichagua chama tofauti na kinachoongoza dola ni halamu kupelekewa huduma za kijamii na maendeleo? Na usipolipa kodi katika maeneo hayo unakuwa muhaini?

Yaani ulipe kodi ila maendeleo kwako hayaji na vyombo vya sheria vuko kimya?
Kauli hiyo na nyingi nyinginezo inaashiria tunapiga kura kuhalalisha kisichostahili. Hapa ilitakiwa vyama kufungua kesi mahakama zifafanue kama siyo uvunjaji sheria. Namna nyingine tuna cheza bora liende.
 
Back
Top Bottom