Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya uchaguzi msije kuleta visingizio na kumlaumu mgombea wenu kwa kufanya starehe anganiKwa pumba hizo anazoongea mitano ni michache, alipaswa afanye hata hamsini kwa siku moja.
Kumshawishi mtu akupe ridhaa yake ni kutongoza. Kaka yangu ananakisi ya haya maarifa. Atateseka sanaHajui kutongoza.
Maendeleo hayana chama, Lissu hoyeeeeeee!Rais Magufuli amewataka watanzania wachague mtu ambaye wana uhakika na uongozi wake badala ya kutaka kuchagua mtu kwa kujaribu
Dr Magufuli amesema majuto ya kuchagua kwa kumjaribu kiongozi yatawagharimu kwa miaka mitano hivyo fanyeni uamuzi sahihi wa kumchagua mtu aliyewaletea maendeleo yanayoonekana kwa kila mtu, msibahatishe.
Rais Magufuli amesema hayo mjini Magu akiwa njiani kuelekea Mwanza anakosubiriwa na maelfu ya wananchi.
Source Channel ten.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
'Mkijidanganya hapa mkachagua wa chama kingine, majuto yake mtayaona, wala siwadanganyi, siwafichi..''.Mgombea Urais CCM-Dkt.John Magufuli
ITV Tanzania
Kauli kama hizi zikitoka kwa Mgombea wa Chama changu ( tena Rais ) sasa zinaweza kutupa Kazi ngumu Sisi tunaompenda na Kumpigia Kampeni.
Naomba kudeclare interest, You are may best friend ever.'Mkijidanganya hapa mkachagua wa chama kingine, majuto yake mtayaona, wala siwadanganyi, siwafichi..''.Mgombea Urais CCM-Dkt.John Magufuli
ITV Tanzania
Kauli kama hizi zikitoka kwa Mgombea wa Chama changu ( tena Rais ) sasa zinaweza kutupa Kazi ngumu Sisi tunaompenda na Kumpigia Kampeni.
HahahahahaAisee sasa ni rasmi CCM wamebananishwa kwenye kona ya kitanda hadi wanafurukuta kwa kuwatisha wapiga kura kuwa watawanyima huduma za kijamii wanazolipia kwa kodi zao wenyewe endapo watawakataa kwenye sanduku la kura.
Kitu muhimu nadhani ni kutomchagua yeye kwanza, halafu na mbunge naye unamkata then unamalia hasira kwa diwani.'Mkijidanganya hapa mkachagua wa chama kingine, majuto yake mtayaona, wala siwadanganyi, siwafichi..''.Mgombea Urais CCM-Dkt.John Magufuli
ITV Tanzania
Kauli kama hizi zikitoka kwa Mgombea wa Chama changu ( tena Rais ) sasa zinaweza kutupa Kazi ngumu Sisi tunaompenda na Kumpigia Kampeni.
Ivi ndio katiba yetu inasema ukichagua chama tofauti na kinachoongoza dola ni halamu kupelekewa huduma za kijamii na maendeleo? Na usipolipa kodi katika maeneo hayo unakuwa muhaini?
Yaani ulipe kodi ila maendeleo kwako hayaji na vyombo vya sheria vuko kimya?
Unajua hilo ndio liko moyoni mwake ,hajui kudanganya ,ni jukumu la wapiga kura kuamua kusuka au kunyoa'Mkijidanganya hapa mkachagua wa chama kingine, majuto yake mtayaona, wala siwadanganyi, siwafichi..''.Mgombea Urais CCM-Dkt.John Magufuli
ITV Tanzania
Kauli kama hizi zikitoka kwa Mgombea wa Chama changu ( tena Rais ) sasa zinaweza kutupa Kazi ngumu Sisi tunaompenda na Kumpigia Kampeni.
Mikoa ya Dodoma na Singida na Ruvuma wanachagua CCM kwa 100% kuanzia wakati wa Uhuru. Je kuna maendeleo gani kule?Ivi ndio katiba yetu inasema ukichagua chama tofauti na kinachoongoza dola ni halamu kupelekewa huduma za kijamii na maendeleo? Na usipolipa kodi katika maeneo hayo unakuwa muhaini?
Yaani ulipe kodi ila maendeleo kwako hayaji na vyombo vya sheria vuko kimya?