Wenyewe hawajui kama sheria ni msumeno unakata kote kote,wanajua kumtetea jiwe ndiyo njia pekee ya kunusuru vibarua vyao.Ujumbe ni kwa wale waliomuita Matiko malaya!
Alizoea mambio.Kitu kizuri ni kuwa msimu huu wagombea wa upinzani hawatoi matusi bali wanahoji upumbavu uliofanyika.
Kamanda hawezi kuwa inzi wa kijani hata siku moja,wewe ni inzi wa kwanza jani na utabaki hivyo tu kwa kuwa unaeneza magonjwa ya mlipukoMimi ni kamanda ila ninae tumia akili, inatakiwa tutii sheria za nchi.
Huyo Mahera amepatwa na uwendawazimu? Hivi **** wagombea ambao wapo kwaajili ya maslahi ya watu wa nje? Kama ni kweli, basi hiyo tume ya uchaguzi itakuwa ina watu vichaa. Inawezekana vipi, NEC imeteua wagombea ambao wapo kwa maslahi ya nje?Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt Charles Mahera amesema kwamba "Kama tume tunaweza kuamua kuwafungia hata kufanya kampeni, wagombea wa vyama ambao kazi yao ni kusambaza matusi na sio sera kwa kuwa sheria ipo na imetaja adhabu, tunatoa rai wabadilike na kuzingatia maadili ya uchaguzi waliyosaini"
''Kama watu walikuwa wamemchagua mtu atatangazwa kama kashinda, hatumtangazi mtu kwa shinikizo la watu, watu wauze sera zao ili wananchi wawachague kwa manufaa yao na si ya watu wa nje'
Dkt. Mahera ameyasema hayo kwenye kikao na watoa huduma ya Habari Mitandaoni leo Sep 15, 2020, ambapo pia amewataka kutumia kalamu na taaluma yao kulinda amani ya nchi kwa kufuata miongozo na taratibu za kutangaza habari za uchaguzi mkuu.
Kazi kwake anayependa wanawake weupe. Ila tu ukweli usibadilishwe kuwa tusi.Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt Charles Mahera amesema kwamba "Kama tume tunaweza kuamua kuwafungia hata kufanya kampeni, wagombea wa vyama ambao kazi yao ni kusambaza matusi na sio sera kwa kuwa sheria ipo na imetaja adhabu, tunatoa rai wabadilike na kuzingatia maadili ya uchaguzi waliyosaini"
''Kama watu walikuwa wamemchagua mtu atatangazwa kama kashinda, hatumtangazi mtu kwa shinikizo la watu, watu wauze sera zao ili wananchi wawachague kwa manufaa yao na si ya watu wa nje'
Dkt. Mahera ameyasema hayo kwenye kikao na watoa huduma ya Habari Mitandaoni leo Sep 15, 2020, ambapo pia amewataka kutumia kalamu na taaluma yao kulinda amani ya nchi kwa kufuata miongozo na taratibu za kutangaza habari za uchaguzi mkuu.
Na kwa kuwaengua wagombea kwa sababu za ovyo.Yeye mwenyewe aonyeshe mfano wa kuwajibika kwa kujiuzulu nafasi aliyonayo kutokana na matamshi yake yanayoonyesha kuegemea CCM,matamshi ambayo yamesambaa katika mitandao ya kijamii.
Na HalitatolewaHivi Dada Matiko alivyo itwa malaya kwenye mkutano wa Ccm kuna onyo lililo tolewa na tume??
Yataje hayo matusi uliyoyasikia kutoka kwake ili tuamini kauli yako.Lisu anatukana hadi tume kuwa ya kijinga yenye maamuzi ya kijinga
Aliiporomoshea matusi ifakara