Uchaguzi 2020 Dkt. Mahera: Tume inaweza kuwafungia kufanya kampeni wagombea wa vyama wanaosambaza matusi badala ya sera

Uchaguzi 2020 Dkt. Mahera: Tume inaweza kuwafungia kufanya kampeni wagombea wa vyama wanaosambaza matusi badala ya sera

Ujumbe ni kwa wale waliomuita Matiko malaya!
Wenyewe hawajui kama sheria ni msumeno unakata kote kote,wanajua kumtetea jiwe ndiyo njia pekee ya kunusuru vibarua vyao.

Kuna wakati Trump alisema,huku Afrika kuna viumbe wanaofanana na binadamu...naona kama kuna ukweli fulani hivi
 
Mahera usiwe na wasiwasi,,hawa wapinzani tutawashinda tu mzee,,,tulia hakuna haja ya kupanick...
 
Kitu kizuri ni kuwa msimu huu wagombea wa upinzani hawatoi matusi bali wanahoji upumbavu uliofanyika.
Alizoea mambio.
Hata anune atajibu tu mwaka huu.
Wizara zinapata kama 31% tu ya budget ilyopitishwa na Bunge.
Yeye anazungukazunguka kugawagawa hela kama vile ni za kwake.
 
Hahahaah tume ya kuteuliwa buaaana mna shida sana
Marekani inafanyika sana tu itakuja kuwa huku
Matusi yepi kwa mfano?
punguza vitisho huu uchaguzi mkubali mlijidanganya kuzuia mikutano mlichoambulia ni kama usemi wa kumsukuma mlevi.... mmemsukuma mlevi ameenda kuangukia panapo
 
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt Charles Mahera amesema kwamba "Kama tume tunaweza kuamua kuwafungia hata kufanya kampeni, wagombea wa vyama ambao kazi yao ni kusambaza matusi na sio sera kwa kuwa sheria ipo na imetaja adhabu, tunatoa rai wabadilike na kuzingatia maadili ya uchaguzi waliyosaini"

''Kama watu walikuwa wamemchagua mtu atatangazwa kama kashinda, hatumtangazi mtu kwa shinikizo la watu, watu wauze sera zao ili wananchi wawachague kwa manufaa yao na si ya watu wa nje'

Dkt. Mahera ameyasema hayo kwenye kikao na watoa huduma ya Habari Mitandaoni leo Sep 15, 2020, ambapo pia amewataka kutumia kalamu na taaluma yao kulinda amani ya nchi kwa kufuata miongozo na taratibu za kutangaza habari za uchaguzi mkuu.

Huyo Mahera amepatwa na uwendawazimu? Hivi **** wagombea ambao wapo kwaajili ya maslahi ya watu wa nje? Kama ni kweli, basi hiyo tume ya uchaguzi itakuwa ina watu vichaa. Inawezekana vipi, NEC imeteua wagombea ambao wapo kwa maslahi ya nje?

Tanzania ni nchi ya ajabu. Ndiyo nchi pekee ambayo unamsikia mtu anaitwa Doctor lakini ujinga haujamtoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote hao watatafuta pakutokea ila hawatapata njia ya kuwaweka wadhalimu ktk nafasi.maana kumbunga cha nje na ndani hawatakiweza.
 
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt Charles Mahera amesema kwamba "Kama tume tunaweza kuamua kuwafungia hata kufanya kampeni, wagombea wa vyama ambao kazi yao ni kusambaza matusi na sio sera kwa kuwa sheria ipo na imetaja adhabu, tunatoa rai wabadilike na kuzingatia maadili ya uchaguzi waliyosaini"

''Kama watu walikuwa wamemchagua mtu atatangazwa kama kashinda, hatumtangazi mtu kwa shinikizo la watu, watu wauze sera zao ili wananchi wawachague kwa manufaa yao na si ya watu wa nje'

Dkt. Mahera ameyasema hayo kwenye kikao na watoa huduma ya Habari Mitandaoni leo Sep 15, 2020, ambapo pia amewataka kutumia kalamu na taaluma yao kulinda amani ya nchi kwa kufuata miongozo na taratibu za kutangaza habari za uchaguzi mkuu.

Kazi kwake anayependa wanawake weupe. Ila tu ukweli usibadilishwe kuwa tusi.
 
Yeye mwenyewe aonyeshe mfano wa kuwajibika kwa kujiuzulu nafasi aliyonayo kutokana na matamshi yake yanayoonyesha kuegemea CCM,matamshi ambayo yamesambaa katika mitandao ya kijamii.
Na kwa kuwaengua wagombea kwa sababu za ovyo.
 
Nadhani kilichowakera ni ile kauli ya Lissu aliposema kuenguliwa kishenzi imewaudhi sana Tume lakini ukweli ni kwamba Wakurugenzi hawakutenda haki walipo waengua
 
Lisu anatukana hadi tume kuwa ya kijinga yenye maamuzi ya kijinga

Aliiporomoshea matusi ifakara
Yataje hayo matusi uliyoyasikia kutoka kwake ili tuamini kauli yako.

Yule aliyemwita mgombea wa chadema malaya ni kitu gani?
 
Maneno ya huyu mahera anaubavu tu kwa vyama pinzani. Huyo mwingine akitukana watasema tu anawasifia wapinzani.
 
Hivi hili na lenyewe limeokotwa jalalani? Juzi anaipigia ccm kampeni leo anambwekea nani?
Fanyeni upumbavu mwaka huu hamna rangi mtaacha kuona
 
Huyu bwana anatoa wapi moral authority ya kusema haya? Hasa baada yakuonekana wazzi wazi tume yake inavyosimamia uchaguzi?
 
Back
Top Bottom