Uchaguzi 2020 Dkt. Mahera: Tume inaweza kuwafungia kufanya kampeni wagombea wa vyama wanaosambaza matusi badala ya sera

Ulishawahi sikia mjinga ni tusi? Siku zote watu wanaendelea kupata ELIMU ili kupunguza ujinga walionao
Lisu anatukana hadi tume kuwa ya kijinga yenye maamuzi ya kijinga

Aliiporomoshea matusi ifakara
 
Nimemsikia mmoja anawaambia wenzie ... "WASHINDWE WALEGEE ..." na ushahidi ninao!
😅
👊 ✌️✌️✌️💥
 
Hahaha hiyo siyo kazi ya tume ya uchaguzi bali msajili wa vyama.

Wangekuwa wanayasema na hayo matusi tuyaelewe wananchi.
 
Wee wafungie kabisa kwa sababu unaona sasa!! Hivi tulivyoambiwa hakuna hospitali au mochwari ikulu ulizika wapi hilo bichwa baya!?
 
Kitu kizuri ni kuwa msimu huu wagombea wa upinzani hawatoi matusi bali wanahoji upumbavu uliofanyika.
Matusi ni subjective ujuwe. Naweza kutamka kauli isiyo kufurahisha ukaitafsiri kama tusi ujuwe.
 
Mahera nyumbani kwako siku zijazo ni Hague tunao ushahidi ukisaidia chama chako! Tunao ushahidi nassisitiza hebu leta fyoko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…