Uchaguzi 2020 Dkt. Mahera: Tume inaweza kuwafungia kufanya kampeni wagombea wa vyama wanaosambaza matusi badala ya sera

Mkiambiwa ukweli mbaanza kubwabwaja subiri mbeligiji wenu aendelee kuropoka mitusi yake kwa vile hana sera maana Sera yake kubwa ni Bima, ndio atajua NEC ni mnyama au ni taasisi ya kusimamia uchaguzi. Na bahati nzur safari hana pa kushtaki huyu mke wa mabeberu maana mabwana zake hawakutoa pesa ya kufadhili uchaguzi
 
Lissu kawashika watu vibaya mara hii
Tena huyu koko lisu tutamuonesha kwanini uchaguzi huu umegharamiwa na serikali 1000000% hakuna wa kutupatia maelekezo fanyeni hivi wala vile amedanganywa huko kwamba kaanzishe vurugu naye ameamini ni mjinga hakuna wa kuingia nchi hii akamsaidia huyo mweu kupata kura .
 
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt Charles Mahera amesema kwamba "Kama tume tunaweza kuamua kuwafungia hata kufanya kampeni, wagombea wa vyama ambao kazi yao ni kusambaza matusi na sio sera kwa kuwa sheria ipo na imetaja adhabu, tunatoa rai wabadilike na kuzingatia maadili ya uchaguzi waliyosaini"

''Kama watu walikuwa wamemchagua mtu atatangazwa kama kashinda, hatumtangazi mtu kwa shinikizo la watu, watu wauze sera zao ili wananchi wawachague kwa manufaa yao na si ya watu wa nje'

Dkt. Mahera ameyasema hayo kwenye kikao na watoa huduma ya Habari Mitandaoni leo Sep 15, 2020, ambapo pia amewataka kutumia kalamu na taaluma yao kulinda amani ya nchi kwa kufuata miongozo na taratibu za kutangaza habari za uchaguzi mkuu.

Hii ni tume au ni tawi la CCM?
 
Jiwe ndo amepanic,ila mwaka huu wahusika wa uchaguzi wameshikwa.walishabiwa.uzuri Tanzania niyawote na sio kisiwa.wanamurikwa💀💀💀💀
 
Mkiambiwa ukweli mbaanza kubwabwaja subiri mbeligiji wenu aendelee kuropoka mitusi yake kwa vile hana sera maana Sera yake kubwa ni Bima, ndio atajua NEC ni mnyama au ni taasisi ya kusimamia uchaguzi. Na bahati nzur safari hana pa kushtaki huyu mke wa mabeberu maana mabwana zake hawakutoa pesa ya kufadhili uchaguzi
Mkuu waweza weka tusi moja tu kama reference?
 
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt Charles Mahera amesema kwamba "Kama tume tunaweza kuamua kuwafungia hata kufanya kampeni, wagombea wa vyama ambao kazi yao ni kusambaza matusi na sio sera kwa kuwa sheria ipo na imetaja adhabu, tunatoa rai wabadilike na kuzingatia maadili ya uchaguzi waliyosaini"

''Kama watu walikuwa wamemchagua mtu atatangazwa kama kashinda, hatumtangazi mtu kwa shinikizo la watu, watu wauze sera zao ili wananchi wawachague kwa manufaa yao na si ya watu wa nje'

Dkt. Mahera ameyasema hayo kwenye kikao na watoa huduma ya Habari Mitandaoni leo Sep 15, 2020, ambapo pia amewataka kutumia kalamu na taaluma yao kulinda amani ya nchi kwa kufuata miongozo na taratibu za kutangaza habari za uchaguzi mkuu.

Hili nalo walilotoa wapi? Ndiyo maana lilikoswakoswa kupigwa makofi na Jerry Muro!
 
''Kama watu walikuwa wamemchagua mtu atatangazwa kama kashinda, hatumtangazi mtu kwa shinikizo la watu, watu wauze sera zao ili wananchi wawachague kwa manufaa yao na si ya watu wa nje'

Watu wa nje ndio akina nani?
 
Back
Top Bottom