Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Subiri baada ya tarehe 28 Oktober ndo utajua ikiwa kawashika vibaya au vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri baada ya tarehe 28 Oktober ndo utajua ikiwa kawashika vibaya au vizuri
wacha maneno weka kifungu.Hilo nimelisema hapa? Nazungumzia hii mada mezani. Tumia ubongo acha papara.
Usifikirie kizazi hichi cha sasa nikama kile kizazi cha kina Steven wasiraSubiri baada ya tarehe 28 Oktober ndo utajua ikiwa kawashika vibaya au vizuri
Makamanda wengine bana. Mimi ni Dk Mahera?wacha maneno weka kifungu.
Tena huyu koko lisu tutamuonesha kwanini uchaguzi huu umegharamiwa na serikali 1000000% hakuna wa kutupatia maelekezo fanyeni hivi wala vile amedanganywa huko kwamba kaanzishe vurugu naye ameamini ni mjinga hakuna wa kuingia nchi hii akamsaidia huyo mweu kupata kura .Lissu kawashika watu vibaya mara hii
Umesema tutii sheria, je sheria ipi ilitumika kuzuia mikutano ya siasa kwa miaka mitano?Hilo nimelisema hapa? Nazungumzia hii mada mezani. Tumia ubongo acha papara.
Hii ni tume au ni tawi la CCM?Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt Charles Mahera amesema kwamba "Kama tume tunaweza kuamua kuwafungia hata kufanya kampeni, wagombea wa vyama ambao kazi yao ni kusambaza matusi na sio sera kwa kuwa sheria ipo na imetaja adhabu, tunatoa rai wabadilike na kuzingatia maadili ya uchaguzi waliyosaini"
''Kama watu walikuwa wamemchagua mtu atatangazwa kama kashinda, hatumtangazi mtu kwa shinikizo la watu, watu wauze sera zao ili wananchi wawachague kwa manufaa yao na si ya watu wa nje'
Dkt. Mahera ameyasema hayo kwenye kikao na watoa huduma ya Habari Mitandaoni leo Sep 15, 2020, ambapo pia amewataka kutumia kalamu na taaluma yao kulinda amani ya nchi kwa kufuata miongozo na taratibu za kutangaza habari za uchaguzi mkuu.
Mkuu waweza weka tusi moja tu kama reference?Mkiambiwa ukweli mbaanza kubwabwaja subiri mbeligiji wenu aendelee kuropoka mitusi yake kwa vile hana sera maana Sera yake kubwa ni Bima, ndio atajua NEC ni mnyama au ni taasisi ya kusimamia uchaguzi. Na bahati nzur safari hana pa kushtaki huyu mke wa mabeberu maana mabwana zake hawakutoa pesa ya kufadhili uchaguzi
Hivi kama ccm watampa mtu tusi la umalaya anaweza kuwafungia kampeni kweli. SiaminiAisee, mwaka huu hakuna uchaguzi kwa vitisho kama hivi
Hili nalo walilotoa wapi? Ndiyo maana lilikoswakoswa kupigwa makofi na Jerry Muro!Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt Charles Mahera amesema kwamba "Kama tume tunaweza kuamua kuwafungia hata kufanya kampeni, wagombea wa vyama ambao kazi yao ni kusambaza matusi na sio sera kwa kuwa sheria ipo na imetaja adhabu, tunatoa rai wabadilike na kuzingatia maadili ya uchaguzi waliyosaini"
''Kama watu walikuwa wamemchagua mtu atatangazwa kama kashinda, hatumtangazi mtu kwa shinikizo la watu, watu wauze sera zao ili wananchi wawachague kwa manufaa yao na si ya watu wa nje'
Dkt. Mahera ameyasema hayo kwenye kikao na watoa huduma ya Habari Mitandaoni leo Sep 15, 2020, ambapo pia amewataka kutumia kalamu na taaluma yao kulinda amani ya nchi kwa kufuata miongozo na taratibu za kutangaza habari za uchaguzi mkuu.
Hiyo hiyo iliyozuia.Umesema tutii sheria, je sheria ipi ilitumika kuzuia mikutano ya siasa kwa miaka mitano?
''Kama watu walikuwa wamemchagua mtu atatangazwa kama kashinda, hatumtangazi mtu kwa shinikizo la watu, watu wauze sera zao ili wananchi wawachague kwa manufaa yao na si ya watu wa nje'
CHADEMA+KIGOGO2014+ MASHANGAZI 2+WANANCHI vs CCM+REFA(NEC)+MBATIA+LIPUMBA+DIAMOND+ALIKIBA+HARMONIZE.
Half Time CHADEMA 3: CCM 0.
Kwani Lisu anasambaza matusi?Lissu kawashika watu vibaya mara hii
Kwani Lisu anasambaza matusi?