GE2025 Dkt. Malisa awafungulia Kesi Rais Samia na IGP Wambura Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) The Hague

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Safi kabisa, ila kwa upande wangu nafikiri hatukupaswa kuwashitaki, ilitupasa tuwateke na kuwafyekelea mbali kwa miko yetu wenyewe.
 
Wanasemaga kuti la mazoea ndio linamdondoshaga mgema.
Tusubiri tuone
 
Haya tena, mla, mla leo, mla jana kala nini?
 
Huyu mzee yupo serious kiasi hiki kumbe!
Na nina hakika hawata thubutu kumfanya lolote maana anaonekana kimataifa sasa.
Lakini vile vile wsnaweza kuziba macho na masikio wakafanya ya polepole ila itawasababishia mgogoro mkubwa utakao wapelekea kuanguka mazima.

Ilikua ni jambo dogo sana kama mh angesikiliza zile hoja za polepole mchakato uanze upya na meza ya maridhiano iandaliwe.

Ni vipi ataongoza hii nchi kwa mpasuko na mgawanyiko mkubwa kiasi hiki, lau angekuwa anapata taarifa za wananchi wengi huku mtaani wasivyo mpenda naamini angejisahihisha.
 
Amna kitu wakina Mseveni na Kagame wangekua wamefungwa au sio wanachama ICC huwa ni Wahuni
Kuna namna wameshika vizuri mabeberu wakikosea wataenda the Hague ni vile tu hawajawazingua mabeberu, kumbuka hata Netanyahu kashaitwa the Hague lakini so far hakuna kilichofanyika
 
Utashangaa bado yupo Tanzania tena Dar Es Salaam. Breaking news any time from now.
 
Mzee Malisa afanye homework yake vizuri juu ya namna ICC inavyofanya kazi zake.

Mtu binafsi hawezi kufungua case ICC directly. Anachoweza ni kuwasiliana na Office of The Prosecutor (Office ya Mwendesha Mashitaka wa ICC) ili kuwasilisha kwao ushahidi alionao.

Baada ya ICC Prosecutor kupokea ushahidi na kushawishika kufanya investigation zaidi, atafanya hivyo. Uamuzi wa whether or not to file a case (prosecutorial discretion) ni wa ICC Prosecutor.

ICC Prosecutor akiamua kutokufungua mashitaka, Mzee Malisa hana locus standi ya kuyafungua hayo mashitaka.
 
Muambie asafiri kwenda nchi wanachama wa ICC uone kazi. Atakamatwa na kufikishwa mahakamani kujibu mashitaka yanayomkabili. Kimsingi, huyo hana tena uhuru wa kusafiri atakavyo!
 
Hujamsikia yeye Samia akisema yeye ndo Amiri Jeshi Mkuu hakuna wa kuleta fujo ?
Alikuwa kwenye kampeni sasa amiri jeshi mkuu si ndo Rais, unasemaje hatuna Rais?
Anaongea tu hakijamlamba bado

Huo uamiri jeshi ni huku kwetu, kwa wenzetu kule ni mjumbe wa nyumba 10

Unafikiri kwanini waliswekwa kwenye coaster siku ile?

 
Kama bado yupo nchini awe makini
Kabisa

Asije kufanya kupitia yeye watu wakatumia utekwaji wake kama ushahidi kuendeleza jalada lake ambalo amelifungua.

Mahakimu wa ICC wakapigwa butwaa kuambiwa hizi video na picha za huyu mnayemuona hapa ndio aliyefungua hili jalada na sasa ametekwa kwasababu alionesha uchokozi kufungua kesi hii.
 
Bagamoyo juzi ulileta makala ya Rais wa Madagascar kuwa ana urai la wa France aisee leo naona maandamano yamechachamaa kaenda kujifucha ktk ubalozi wa ufaransa.
 
Wamtoe nani sasa? Deep state au?

We unaliona hilo likitokea?
 
Bagamoyo juzi ulileta makala ya Rais wa Madagascar kuwa ana urai la wa France aisee leo naona maandamano yamechachamaa kaenda kujifucha ktk ubalozi wa ufaransa.

Wa hapa kwetu ana wajomba kibao nje ya nchi, wahenga walisema mjomba ndiye ndugu halisi wa mtoto siyo baba wala baba mdogo...


 
Bagamoyo juzi ulileta makala ya Rais wa Madagascar kuwa ana urai la wa France aisee leo naona maandamano yamechachamaa kaenda kujifucha ktk ubalozi wa ufaransa.
Mambo yametimia, imebidi akimbilie huko

TOKA MAKTABA :

Mambo ni mengi : makala hii kwa wasomaji wafahamu sababu kibao za GenZ Madagascar kuona wanasalitiwa

Opinionista​

We have a European citizen as head of SADC – and no one seems to care​

By Nadia Gava

25 September 2025

On 17 August 2025, the 45th SADC Heads of State Summit and Government took place in Antananarivo, Madagascar. The summit elected Andry Rajoelina, President of Madagascar, as Chairperson of SADC. He’ll hold this rotating position for the next year, after which South Africa’s Cyril Ramaphosa will take over.


Photo : Andry Rajoelina, President of Madagascar, and Chairperson of SADC.

Rajoelina’s appointment is significant because of one shocking fact all SADC heads of state seem to conveniently forget: he is a French citizen. To be clear, he doesn’t hold dual citizenship of France and Madagascar; he is solely a French citizen. To be even clearer, we currently have a European citizen at the helm of SADC. And no one seems to care.


According to Article 42 of the Malagasy Nationality Code, a Malagasy citizen who voluntarily acquires a foreign nationality loses their Malagasy citizenship.

In 2023, shortly before the Malagasy national elections, a media frenzy broke out when it was revealed that Rajoelina had obtained French citizenship as far back as 2014, a fact he wilfully concealed. Madagascar was a French colony from 1896 to 1960. READ MORE :
 
Hivi individual anaweza kufungua kesi au kureport tu?
Raia au taasisi wanaweza kuwasilisha taarifa kwa Ofisi ya Mwendesha Mashtaka (DPP wa mambele), lakini si kufungua kesi moja kwa moja.

 
Kwa kuongezea Tanzania imesaini Mkataba wa Roma wa kuanzishwa kwa ICC ila haijaridhia (kuratify) hivyo siyo mwanachama wa ICC. Ukiwa siyo mwanachama wa ICC huwezi kushtakiwa katika Mahakama hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…