Kama lissu anatoka mishipa ya shingo kwa kuiaminisha dunia kuwa rais hajawai kutoa tamko lolote kufuatia ye kushambuliwa wala kiongozi yoyote wa serikali kumtembelea, kwa nini tusimuamini mollel?Hata kwa akili nyembamba uliyonayo unawezaje kumuamini Mamluki Mollel ?
Hahahahahahahaaaaa,huo upuuzi tushauzoea!!!!!Halafu kwanini anaongelea bungeni ambapo ana kinga?Aitishe press nje ta bunge aseme hayo tumjambishe!Abarikiwe mheshimiwa mollel kwa kuwaumbua hawa Chadema
Ndio maana kaongelea bungeni maana ana kinga!
Eeh,why wakati ushahidi kasema anao[emoji2955][emoji2955][emoji848][emoji848]Mungu atamlaani
Ngoja tumuulize swali dogo tu huyo mbunge Mollel, mbona kila linapotolewa ombi la kuwaleta wachunguzi wa nje wa kimataifa waje walichunguze suala hili la kipigwa risasi Tundu Lissu, ni serikali hiyo hiyo inalitolea nje??Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.
View attachment 1017124
Kuna wakati sura ya mtu huakisi upungufu alio nao. Mtazameni vizuri.Basi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku
Kwa hiyo tusubiri jeshi la polisi waongee na msajili wa vyama na CAG kuhusu ruzuku ili kumlainisha bwana mollel atoe ushahidi wake huo
**Halii hii inaonyesha wazi kwamba ukihama cdm kwenda ccm akili zako zinaongezeka sana, Dr Mollel katisha vibaya mno.
View attachment 1017124
Acha uongo wewe unaishi Ujerumani gani,wajerumani wangapi wanafahamu Lissu au unadhani Ujerumani ni sawa na ArushaNtajitahidi kufunika pembe la ng'ombe Lakin hafichiki
Mbona mnaruka ruka tulieni mliyataka wenyewe
Anawaanika Kwel Kwel hadi naona aibu mimi huku Germany had tunaona aibu kutoka street
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha, mwambie huyo jamaa.Acha uongo wewe unaishi Ujerumani gani,wajerumani wangapi wanafahamu Lissu au unadhani Ujerumani ni sawa na Arusha
Zile nguo za kijani sijui waliweka vitu gani maana mwenye password ya akili alikuwa na password yake.Tumbo ndo ugeuka akili.Wanajali tumbo kuliko hali halisiBasi jamani utata umeisha,bwana mollel unaambiwa anao ushahid wooooteeeeee, ila atautoa tu pale chadema itakapoeleza matumizi ya ruzuku