Dkt. Mollel: Ni ujinga Waziri kutoa Data za Walioathiriwa na Corona kila siku. Bei ya chanjo ni Tsh 400,000

Tatizo sio kutangaza dada tatizo ni kutokuchukua data na kuzifikisha katika sehem sahihi hasa WHO.

Huwezi kufanya maamuzi huna data. Unaanalyse data ndyo unafanya maamuzi.

So serikali ingekuwa inatunza hizi data, ingesaidia hata kujua mapema ukubwa wa tatizo na nini kifanyike kuliko kuchukulia poa.
 
Wajibu hoja zake! Si kila mwenye changamoto ya kupumua Ni corona! Vifo vilivyotokana na matatizo ya upumuaji vilikuwepo hata kabla ya Corona na matatizo ya upumuaji yalIshika nafasi ya pili duniani kwa kusababisha vifo hata kabla ya Corona. Kwa nini Leo wanalazimisha kila anayefariki kutokana na tatizo la upumuaji kuwa amekufa kwa corona?? Hiyo hoja Ni mfupa na hskuna wa kuijibu!!
 
WHO si sehemu sahihi kwa Sasa maana wanaziweka hadharani na kusababisha hofu na taharuki kwa watu!!! Hofu inaua kuliko korona! Hofu inashusha Kinga ya mwil!! Hatutaki full stop. We are the sovereign state!! Wasijifanye wanatuhurumia sana!!!
 
Huhitaji CV yake jiulize tu kwa nini waliochanjwa Ulaya na Marekani nchi zao haziwaruhusu kusafiri kwenda popote duniani kama chanjo yao iko vizuri?
Vibaraka wa mabeberu hawawezi kukuelewa!! Kwanza hata hao waliochanjwa hakuna uhakika Kama hiyo chanjo haitamgeuka kuwa balaa mbele ya Safari maana haijafanyiwa utafiti wa kutosha kuhusu usalama wake!! Chanjo huchukua miaka 10 kuthibitika kuwa salama!! Hii ya Sasa Ni ya voda fasta, imetengenezwa kwa miezi 10 tu!! Hapa Ni biashara kwa kwenda mbele!! Mtajijua mbele kwa mbele! Sasa sisi hilo tumelikataa!! Huwezi kuweka rehani maisha ya watu kwa kiasi hicho!!.
Lakini pia chanjo utakayoletewa wewe si hii wanayopeana wao!! Itachakachuliwa - kalagabaho!! Walioifuata huko wamerudi na korona ya ajabu ajabu, saa hii wanajuta lakini majuto ni mjukuu!!!
 
Huelewi chochote wewe!! Hata hivyo haujazuiwa kujilockdown na familia yako au kufuata chanjo ya korona popote ilipo. Medical data is for medical consumption not for public consumption as you want it to be the case!!
WHO are now abusing for making medical data public and hence triggering fear which is even more deadly than covid 19 itself!!
Matukio ya kujiua yameongezeka Sana Marekani na ulaya kwa ajili ya hofu na kukata tamaa!!
 
Hajasema kuwa hawachukui takwimu, alichosema Ni kuwa takwimu si kwa ajili ya kuziweka hadharani kama unavyotaka Bali Ni kwa ajili ya kuchakata nla kutumiwa katika maamuzi, mipango, nk kwa watu wanaohusika!! Zinaweza kusaidia katika utungaji wa sera na mambo Kama hayo. Si kwa ajili ya kuanika hadharani na kusababisha hofu isiyokuwa na msingi.
WHO wamemsikia mh Mollel na hoja zake ni water tight na hakuna awezaye kuzijibu!!
 
Ili ujue mtu kafa na ugonjwa gani ni lazima Madaktari na maabara wafanye uchunguzi wa kina na watoe majibu sahihi, sio kutoa majibu ya jumla jumla. Watu wengi wanapenda kupata majibu ya haraka na mepesi kwenye utaalamu sio hivyo. Wataalamu wafanye kazi yao kwa umakini waepuke mihemko na uvivu, watoe majibu sahihi.
 
Mtu anayemuombea bosi wake apewe Corona ni wa kupuuzwa tu
Your browser is not able to display this video.
 
Upumbavu ni mzigo usiobeeka.
 
We're just building the castle in the air.
we are not building castle in the air,
last year we planned and we succeeded as a nation and am sure this time we are going to succeed by using the same strategy.

Sent using Jamii Forums mobile app
Let's hope so.
 
Unakataa vipi weka wazi takwimu za ugonjwa ambao umekumba dunia mkuu, KWA hili nini special,
 
Nobody, mimi naona bora watangaze vifo vya malaria, na ujambazi, na COVID, na makanasi, na wezi wa ng'ombe, na janga wa mafuriko
 
wanapimaje au ndo ile wanakuingizia kafimbo puani?
Hiyo hyo,,unaingizwa kijiti puani na.mdomoni,

Tatizo ni gharama za hospital,

Zamani ilikuwa tunapima moja kwa moja Maabara ya taifa kule mabibo.

Sasa wamebadilisha tunapima hospitals za serikali au maalum zilizothibitishwa.

Halafu vipimo vinakwenda Maabara ya taifa,,

na wao wanatuma majibu kwenye simu.

Sasa lazima ulipe gharama za hospitals husika.

Mfano,,, aghakhan utatozwa 130000 ,,za hospital na utatoa 230000 ,

Amana unatoa 230000 za kupima corona,,
na 25000 za kwao hospital kama gharama zao.

Mbaya zaidi watu wanachelewa ndege,,wengine hawapewi majibu kwa wakati.
 
Ila sidhani kinachosemwa ni kuzitangaza hadharani, ni kwamba Tanzania imeacha ule utaratibu kuziwasilisha hizo data WHO kwa muda sasa,sidhani hata majirani zetu bado wanaendelea kutangaza hadharani lkn WHO wana current Data za COVID kwa nchi zao. Ingawa kwa upande mwingine uwa najiuliza unapo declare kwamba huna wagonjwa bado unatakiwa uendelee kutoa hizo Data mpk lini?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
vipi mzee unaenda kwa kaburu nini
 
Mkuu, sijaelewa point yako kwa sababu hata mimi sijasema kila anayekufa kwa changamoto ya kupumua ni corona. Lakini utakubaliana nami kuwa kila kifo kina sababu ya kisayansi - ndio hapo tunajua ukimwi, kifua kikuu, dondakoo, unyafuzi, utapia mlo vinaua wangapi kwa mwaka. Ungekuwa unajua kidogo hata mambo ya afya ya jamii (public health) ungejua huwa tunaambiwa "kupunguza vifo katika uzazi au vya watoto chini ya miaka mitano kutoka 25 hadi 20 katika kila wajawazito/watoto 100,000)". Hujawahi kusikia hilo?? Chimbuko lake ni taarifa, data!!!! Hakuna anayetaka waseme wote wamekufa kwa corona. Wengi tunapenda hata kusikia wote waliokufa sababu za vifo hazijahusiana na corona. Hivo basi, watoe taarifa ya "sifuri". Sio hakuna taarifa. Umengekuwa unajua unachozungumza, ungejua "0" ni taarifa na "-" sio taarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…