Dkt. Mollel: Ni ujinga Waziri kutoa Data za Walioathiriwa na Corona kila siku. Bei ya chanjo ni Tsh 400,000

Dkt. Mollel: Ni ujinga Waziri kutoa Data za Walioathiriwa na Corona kila siku. Bei ya chanjo ni Tsh 400,000

Yuko sahihi, kwani kuto kutanganza data hadharani pia ni mbinu mojawapo ya kupambana na matatizo ya Corona.

Sio kila mtu mwenye changamoto ya upumuaji basi ana zushiwa kuwa anaumwa corona, bali matatizo ya upumuaji yanaweza pia kusababishwa na magonjwa ya moyo, pumu, nimonia, sukari, n.k.

ni vyema wagonjwa wote wenye magonjwa sugu na ambao wanapaswa kuhudhuria kliniki wafanye hivyo badala ya kubaki nyumbani.

Lengo ni kuokoa maisha ya watu wote na haswa wenye changamoto sugu za kiafya na sio kuwatisha kwa matangazo ya vifo.
Naibu Waziri anapotosha au hajui. Data si mchakato pekee. Data ni taarifa zote husika. Pili, aliyeng'ang'ania kuuita ugonjwa huu kuwa wa kutopumua ni yeye na wenzake, pengine kwa makusudi ili wawambie watu 'the obvious' kuwa magonjwa ya kutopumua ni mengi. Ugonjwa wa covid hauitwi ugonjwa wa kutopumua. Una dalili zinazofanana na za magonjwa mengine, km kutopumua. Hata hivyo kutopumua kwake ni tofauti/specific. Kisha una dalili zingine ambazo ni 'exclusive' kwake tu zinazoonekana kabla na baada ya vipimo. Mwisho, ugonjwa huu hupimwa na kuonekana wazi wazi kwa mashine maalum ya kupimia iliyoko kwenye senta moja kubwa ya kupimia. Huyu Naibu Waziri ashauriwe kuwa wako Watanzania wengi kibao walio na utaalamu na uelewa wa magonjwa. Si watoto au mbumbumbu! Ajipange na aheshimu uelewa wao kabla ya kusema anachofikiria tu.
 
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya Jinsia Wazee na Watoto amesema watu wengi wanasema Tanzania haitoi data, ambapo amesema data haina haja ya kutangazwa kila siku na Waziri, utakuwa ni ujinga mtupu.

Amesema Data huwa inataka uchakataji ili kujua tatizo ya magonjwa yanayosababisha vifo na kujua namna ya kuyakabili.

Kwa kipindi cha karibuni kumekuwa na taharuki ambayo imesababisha kila anayefariki kupakaziwa amekufa kwa #CoronaVirus hivyo inahitajika uchakataji kujua waliopakaziwa

Amesema ili kutoua watu, mtu akienda hospitali huwa wanasema ana matatizo ya kupumua ili kwanza kujua kama anashindwa kupumua kwa tatizo la presha, nimonia, sukari au bakteria.

Msikilize:

View attachment 1709630
Kutoa data za magonjwa ni matakwa ya SHirika la AFya Duniani (WHO) ambako sisi ni wadau/wanachama. SIo maamuzi ya nch husika pekee. Lengo la kukusanya na kuchapisha data ni kujua aina za magonjwa, usambaaji wake, athari zake nk ili kuweza kuyakabili kwa mbinu stahiki. Hivyo, sioni mantiki yoyote ya yeye kusema kuchapisha takwimu ni ujinga. Hio sio sawa.
 
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya Jinsia Wazee na Watoto amesema watu wengi wanasema Tanzania haitoi data, ambapo amesema data haina haja ya kutangazwa kila siku na Waziri, utakuwa ni ujinga mtupu.

Amesema Data huwa inataka uchakataji ili kujua tatizo ya magonjwa yanayosababisha vifo na kujua namna ya kuyakabili.

Kwa kipindi cha karibuni kumekuwa na taharuki ambayo imesababisha kila anayefariki kupakaziwa amekufa kwa #CoronaVirus hivyo inahitajika uchakataji kujua waliopakaziwa

Amesema ili kutoua watu, mtu akienda hospitali huwa wanasema ana matatizo ya kupumua ili kwanza kujua kama anashindwa kupumua kwa tatizo la presha, nimonia, sukari au bakteria.

Msikilize:

View attachment 1709630
Huyo anayesemwa hapa kuwa ni mjinga ni nani?
Kwahiyo hizo data zinazochakatwa ni siri?
 
Kutangaza data za waliougua au kufariki kwa kovid ni njia mojawapo ya kuokoa watu, maana huongeza uoga na tahadhari
Kwahiyo kinachotafutwa ni uoga na tahadhari sio tiba.
 
sijasema data hazipo,
data za magonjwa yote zipo na zinatumiwa ktk mipango mingine ya kisayansi ya kukabiliana na maradhi husika.
kinacho semwa na naibu waziri ni kuwa hakuna sababu ya kuanika data kila wakati isipo kuwa kwa taasisi zinazo husiana na mambo ya afya.
sasa wewe raia wa kawaida unazitaka data ili zikusaidie nini ? !!

Sent using Jamii Forums mobile app
Taasisi inayohusiana na mambo ya afya kiulimwengu ni WHO. Mbona na yenyewe imenyimwa data?
 
Mwenye CV ya Naibu Waziri wa afya Tanzania tafadhali
Wamesema mahali fulani kwenye hii thread kuwa ni mtaalam wa kung'oa meno (natamani waseme ni mtaalam wa kutibu meno, lakini kibongobongo ukifika anga za hawa jamaa na tatizo la meno jiandae kung'olewa tu)!
 
Kibaya zaidi kufikiri huku kipumbavu kuwaongoza na mtu ambaye ndio alifaa awe dira kwa wananchi wake.mtu mwenye PHD aliyoipata kihalali sidhaji kama anaweza kuwaza kwa style yake
Msingi wa maamuzi mara nyingi huwa ni kutumia sayansi. Dunia ya sasa inahitaji sayansi kuliko maoni! Hakuna sayansi iliyofanywa kuthibitisha madaio yao kuwa ugonjwa haupo, kuwa dawa za mitishamba (kujifukiza, tangawizi nk) zinatibu changamoto ya kupumua. Nilidhani mwanasayansi mzamivu angekuwa wa kwanza kutambua hili!! Wanasema a lie will have traveled half the world before truth has the time to put on a shoe!! Tungepata hofu kwanini uongo umetamalaki namna hii na huku tusema "Mungu Mungu"
 
...na Serikali isaidie vipi
Mimi nilidhani unahitaji data ili zikusaidie kupata ufumbuzi wa kudhughulikia tatizo ls ugonjwa huu. Kumbe na wewe unawaza serikali ndiyo iendelee kutumia data kusaidia wananchi wake. Sasa serikali ndiyo inakusanya data na inazitumia kukabiliana na janga hili. Kwa nini wewe ukose utulivu juu data za ugonjwa huu wakati unauhakika data ziko kwrnye mikono salama!?
In general statictics zinakusaidia pia wewe na Serikali yenu mtapewa msaada wa chanjo kwa kiasi gani.
Unawaza utegemezi tu!! Kwa nini hufikirii sisi kama nchi tuna weza kujitatulia mambo yanayotuhusu sisi wenyewe!? Tafadhali Mkuu, usinifanye nianze kuwaza kukuingiza kwenye orodha ya wale wanaojisikia raha kupewa misaada na jamaa zetu wa kaskazi na magharibi.
 
Msingi wa maamuzi mara nyingi huwa ni kutumia sayansi. Dunia ya sasa inahitaji sayansi kuliko maoni! Hakuna sayansi iliyofanywa kuthibitisha madaio yao kuwa ugonjwa haupo, kuwa dawa za mitishamba (kujifukiza, tangawizi nk) zinatibu changamoto ya kupumua. Nilidhani mwanasayansi mzamivu angekuwa wa kwanza kutambua hili!! Wanasema a lie with have traveled half the world before truth has the time to put on a shoe!! Tungepata hofu kwanini uongo umetamalaki namna hii na huku tusema "Mungu Mungu"
Hahaha naona layman approach inatumika zaidi.Facts zinaachwa nyuma na opinions zina lead the way.
 
sio siri viongozi wa wizara ya afya wametuangusha sanaaa, wanatakiwa kujiuzulu! Haiwezekani mtu na pHd yako unasubiri maelekezo kama mtoto mdogo
 
Walipoenda kusaini mikataba na WHO kuhusu takwa la ku-share data inapotokea ugonjwa wa mlipuko unaotishia maisha ya watu hayo hawakuyajua.

Au WHO wanahimiza vitu ambavyo hawana uhakika navyo?

Tangu mwezi wa tano wao wanachakata tu?

Epidemiology alisoma peke yake tu?
unataka watoe takwimu ili kwa upande wako zikusaidiaje kwamfano!!!
 
Yuko sahihi, kwani kuto kutanganza data hadharani pia ni mbinu mojawapo ya kupambana na matatizo ya Corona.

Sio kila mtu mwenye changamoto ya upumuaji basi ana zushiwa kuwa anaumwa corona, bali matatizo ya upumuaji yanaweza pia kusababishwa na magonjwa ya moyo, pumu, nimonia, sukari, n.k.

ni vyema wagonjwa wote wenye magonjwa sugu na ambao wanapaswa kuhudhuria kliniki wafanye hivyo badala ya kubaki nyumbani.

Lengo ni kuokoa maisha ya watu wote na haswa wenye changamoto sugu za kiafya na sio kuwatisha kwa matangazo ya vifo.
Lakini ndugu kwanini sasa enzi hizi za korona ndio tunasikia changamoto za kupumua?
Tuwe wakweli jamani, hakuna anayetishika kama ataambiwa ukweli wa hatari iliyo mbele yake na namana bora ya kujihadhari na kujilinda.
 
Walipoenda kusaini mikataba na WHO kuhusu takwa la ku-share data inapotokea ugonjwa wa mlipuko unaotishia maisha ya watu hayo hawakuyajua.

Au WHO wanahimiza vitu ambavyo hawana uhakika navyo?

Tangu mwezi wa tano wao wanachakata tu?

Epidemiology alisoma peke yake tu?

inaelekea dental formula huwa hawasomi epidemiology?
 
Mimi nilidhani unahitaji data ili zikusaidie kupata ufumbuzi wa kudhughulikia tatizo ls ugonjwa huu. Kumbe na wewe unawaza serikali ndiyo iendelee kutumia data kusaidia wananchi wake. Sasa serikali ndiyo inakusanya data na inazitumia kukabiliana na janga hili. Kwa nini wewe ukose utulivu juu data za ugonjwa huu wakati unauhakika data ziko kwrnye mikono salama!?

Unawaza utegemezi tu!! Kwa nini hufikirii sisi kama nchi tuna weza kujitatulia mambo yanayotuhusu sisi wenyewe!? Tafadhali Mkuu, usinifanye nianze kuwaza kukuingiza kwenye orodha ya wale wanaojisikia raha kupewa misaada na jamaa zetu wa kaskazi na magharibi.
Ungekaa kimya TUJITEGEMEE. Wewe unaniambia Mimi nawaza kusaidiwa, kwani kuficha data kuna uhusiano gani na kupata msaada?

Hata hiyo propaganda yenu ya kujifanya eti Tanzania nchi tajiri IMEBUMA. Last week Palamgamba Kabudi alikuwa kuomba huko France. Last two weeks Doto James amesaini mkopo wa EU wa Euro zaidi ya 300 Milioni.

Acheni mawazo ya Utopia au kawadanganye wasiokwenda shule wako wengi huko Chato na sehemu zingine za Kanda ya ziwa.
 
Yuko sawa kuficha data? Hata WHO wasijue? Kwahiyo ni kwa faida ya nani
Nilichoandika umekisoma? Na Je maelezo ya Dr Molel umeyasoma ukaelewa?

Narudia tena, Kitaaluma Yuko Sawa, Kwa wapumbavu hayuko Sawa, haijalishi hao wapumbavu wengine wako huko kwenye shirika ama ni wewe!!
 
Back
Top Bottom