Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
Ndo kilichobaki...........mama anakuacheni tu Kila mnavyojitahidi ye anazidi kupaa tu kudadadadekiHuyo mama nae ana mbinu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo kilichobaki...........mama anakuacheni tu Kila mnavyojitahidi ye anazidi kupaa tu kudadadadekiHuyo mama nae ana mbinu gani?
Mnavutaga bangi za wapi?P.Mpango (PhD) ndiye raisi ajaye …
Utekaji na mauaji ni haramu kwa padri.
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amemwandikia barua ya kuomba apumzike Umakamu wa Rais ambapo amesema baada ya kutafakari ameridhia ombi hilo.
Lakini kwa sasa Dkt. Mpango ataendelea kuwa Makamu wa Rais hadi utakapofanyika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025.
Soma:Breaking News: - Uchaguzi 2025 - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025
Akiongea leo January 19,2025 kwenye Mkutano Mkuu Maalum Jijini Dodoma, Rais Samia amesema
""Dkt. Philip Mpango ndiye Makamu wa Rais miezi ya karibuni hapa amekuja kuniona kuniomba apumzike, ana sababu kadhaa lakini sio za kazi, anasema yeye sasa ana miaka 68 na angependa kuishi zaidi kwahiyo naomba nipumzisheni.
Nikambishia bishia Wiki iliyopita hapa akanikabidhi barua yangu hii ( ya kujiuzulu?) na barua sikumjibu, nilipoenda kwenye Kamati Kuu nikawaeleza hiyo hali na kwa pamoja wote tukakubali tumpumzishe"
Ama Mambo Ya Jiwe Na Pajama UsikuWameshindwana mitazamo au shida ni Nini?
Hakuna anachopoteza! Maana atakula mpaka anaenda kaburini! Mshahara ni 80% ya sitting VP gari la kifahari, nyumba nzuri atakabidhiwa, walinzi, wahudumu! Bora apumzike ale vya bure!siyo bure kuna kitu hapo......aache ulaji na prestige yote hiyo...never
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea urais, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 2025.Dk Nchimbi ambaye aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Januari 15, 2024 katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho kilichofanyikia Unguja, visiwani Zanzibar.Dk Nchimbi alichukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo aliyejiuzulu Novemba 29, 2023.Rais Samia amempendekeza Dk Nchimbi leo Jumapili, Januari 19, 2025 katika mkutano mkuu maalumu jijini Dodoma.
Mara ya mwisho kufika Kigoma ilikuwa lini?Kwa kipindi chote alichohudumu hiyo nafasi hajaisaidia Kigoma kwa chochote kile wakati wenzie wanajenga Kizimkazi.
Dr Mpango ni mzigo acha apumzike.
Yaani anajiuzuru leo kwa sababu kachoka na kazi halafu hapo hapo anaendelea kukaa ofisini kuifanya kazi ile ile mpaka mkataba wake unapokwisha. Common sense inatokeaje hapo?Sasa sheriq ya nini hapo?,wakati common sense hio barua anayoiptiisha ni rais na rais amekataa kuipitisha na kucomment inabidi amalizie miezi Tisa yake
MkuuKwa kipindi chote alichohudumu hiyo nafasi hajaisaidia Kigoma kwa chochote kile wakati wenzie wanajenga Kizimkazi.
Dr Mpango ni mzigo acha apumzike.
Rais amesema ameandika barua ya kuomba kuachana na hiyo kazi. Kwa lugha ya kisiasa amejiuzuru!Mpango kaandika barua kwa Raisi kuomba ajiuzulu au kaandika kwa mwenyekiti kuomba kupumzika?
Hata sasa niko Ujiji hapa.Mara ya mwisho kufika Kigoma ilikuwa lini?
Kuna jambo, ila nitalifuatilia tukishampitisha Lissu kuwa Mwenyekiti.utanikumbuka labda likitokea, hahah lkn una point kuna haja gani ya kutangaza kama anaendelea mpka oktoba? hauoni kuna kitu hakipo sawa hapo ?