magicdavie
Member
- Aug 12, 2017
- 56
- 68
Na hao wazee watuachie mademu zetu😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ujumla tumevurugwa!Tuachwe na mishe zetu zinazotuweka mjini🙂Mmewanyima ajira vijana wamekaa kimya wameamua kujishikiza kwa mashangazi na kubeti bado mnawafuatilia na huko. Wakiandamana napo mnawapiga. Waacheni waweke stake chamsingi washaurini waweke mechi chache odds za uhakika.
Swali kwa makamu rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt Mpango, serikali ya CCM imejipangaje kuinua kipato cha mtu mmoja mmoja, (National economy and social development strategies of an existing government)Wakuu mmesikia huko alichokisema Dkt. Mpango kuhusu Mashangazi?
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philiph Mpango, amesema zinahitajika tafiti za kina pamoja na mikakati katika kufanya mapinduzi ya kitamaduni kubadili tabia na mazoea yasiyofaa yanayojitokeza katika Jamii hivi sasa ambayo ni kikwazo kwa maendeleo.
Dkt Mpango amesema hayo wakati akifungua mkutano wa kusherehekea miaka 30 ya Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF) uliyofanyika Jijini Dar es salaam ambapo ametaja baadhi ya mazoea na tabia hizo ni pamoja na kutojali muda, kutokuwa na uaminifu mahali pa kazi pamoja na kutumia njia zisizofaa katika kupata kipato.
Makamu wa Rais ameitaka ESRF pamoja na Watalaam wa Fikra Tunduizi (Think Tank) kuangazia pia tabia za hivi karibuni za Vijana kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Wanawake waliyowazidi umri (Mashangazi) kama njia rahisi ya kujikimu, kutumia muda mwingi bila kufanya kazi kwa kushinda Vijiweni, uchezaji kamari, utupaji taka ovyo, uchomaji moto ovyo wa nyasi na misitu pamoja na ubinafsi.
Pia Makamu wa Rais amesema ni muhimu kuangazia tabia nyingine kama vile matumizi makubwa ya fedha katika anasa kuliko kuweka akiba ikiwemo uchangiaji zaidi katika matukio ya sherehe na tafrija kuliko kusaidia gharama za elimu na matibabu kwa familia za kipato cha chini.
Soma: Kuhusu utafiti wa tatizo la ajira, Dkt. Mpango usihadae Watanzania
Sio Kwa kuwa wengi Pochi huwa Nene? 😜Hawana hekaheka wabhabha wa watu,
uWakuu mmesikia huko alichokisema Dkt. Mpango kuhusu Mashangazi?
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philiph Mpango, amesema zinahitajika tafiti za kina pamoja na mikakati katika kufanya mapinduzi ya kitamaduni kubadili tabia na mazoea yasiyofaa yanayojitokeza katika Jamii hivi sasa ambayo ni kikwazo kwa maendeleo.
Dkt Mpango amesema hayo wakati akifungua mkutano wa kusherehekea miaka 30 ya Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF) uliyofanyika Jijini Dar es salaam ambapo ametaja baadhi ya mazoea na tabia hizo ni pamoja na kutojali muda, kutokuwa na uaminifu mahali pa kazi pamoja na kutumia njia zisizofaa katika kupata kipato.
Makamu wa Rais ameitaka ESRF pamoja na Watalaam wa Fikra Tunduizi (Think Tank) kuangazia pia tabia za hivi karibuni za Vijana kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Wanawake waliyowazidi umri (Mashangazi) kama njia rahisi ya kujikimu, kutumia muda mwingi bila kufanya kazi kwa kushinda Vijiweni, uchezaji kamari, utupaji taka ovyo, uchomaji moto ovyo wa nyasi na misitu pamoja na ubinafsi.
Pia Makamu wa Rais amesema ni muhimu kuangazia tabia nyingine kama vile matumizi makubwa ya fedha katika anasa kuliko kuweka akiba ikiwemo uchangiaji zaidi katika matukio ya sherehe na tafrija kuliko kusaidia gharama za elimu na matibabu kwa familia za kipato cha chini.
Soma: Kuhusu utafiti wa tatizo la ajira, Dkt. Mpango usihadae Watanzania
Tupo mashangazi kuwahudumia....Tena huyo BABU KIZEE atukome kabisa mashangazi, kwani nani amemtuma? Kiherehere chake tu.
Sisi mashangazi tunapinga vikali kauli ya huyo BABU KIZEE MPANGO, TUNASEMAJEEEEE, atuache na vibenteni wetuu.
Hivi anaujua utamu wa vibenteni kweli huyu au anabwata tu? Baadaye nitatoa TAMKO RASMI.
Cc: FaizaFoxy Mbaga Jr Kapeace Kalpana Extrovert dronedrake fundi bishoo Lamomy Nyani Ngabu
Hongereni, kazeni buti mahitaji yenu serikali hawajui, huwa wanajitokeza wakati wa uchaguzi tuTupo mashangazi kuwahudumia....
Safari hii tutawahudumia watangaza nia wote wa majimbo na vijiji..Hongereni, kazeni buti mahitaji yenu serikali hawajui, huwa wanajitokeza wakati wa uchaguzi tu
Safi sanaSafari hii tutawahudumia watangaza nia wote wa majimbo na vijiji..
Shangazi anataka kukunwa na anahitaji mtoto bembea anafanyaje?Kuna ukweli kitafiti?
Bora mishangazi vitoto vya elf2 vinazingua kinomaWakuu mmesikia huko alichokisema Dkt. Mpango kuhusu Mashangazi?