TANZIA Dkt. Muhammed Seif Khatib afariki dunia


Alipopata vyeo serikalini hakuweza kamwe kuyaishi maandishi yake.

Lakini maadishi yake yataendelea kumuenzi.

Apumzike kwa amani.
 
siku hizi kifo ni changamoto tu, sio amri na mapenzi ya Mungu tena?
 
Wakati mwingine Mungu hutumia matukio kuponya Taifa au kuonesha ukuu wake. Kifo Cha kamarada Dkt Mohhamed Seif Khatib kuna jambo tunataka kuoneshwa...
kwani kabla ya corona hakukuwa na vifo?
 
Mtunzi wa kitabu maarufu " WASAKATONGE" Inna lillah wa inna ilahy rajiun
 
Alipopata vyeo serikalini hakuweza kamwe kuyaishi maandishi yake.

Lakini maadishi yake yataendelea kumuenzi.

Apumzike kwa amani.
Nakumbuka mwaka fulani kama sikosei 2002 mwandishi mmoja nguli aitwaye Joseph Mihangwa aliwahi kuhoji kama Mohamed Seif Khatibu anaweza kughani mashairi yake.
 
kwa picha tu inasadifu mzee alikuwa kala chumvi hasaaa.Ni natural death. Kila la kheri pumzka kwa amani comrade. Tutakukumbuka kwa mchango wako ulioutoa ktk taifa hili la Tanzania.
Mzee larry king alikuwa na umri mkubwa still korona imepita nae, kwahiyo hata wazee korona inachukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…