Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Le mutuz ana 68, ni mkubwa kuliko dada yake marehemu.Yeye ndiye mtoto mkubwa wa Mzee Malecela?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Le mutuz ana 68, ni mkubwa kuliko dada yake marehemu.Yeye ndiye mtoto mkubwa wa Mzee Malecela?
Mzee kimambi alimuoa Dr MweleNi mwanae kivipi?
Kumbe!Mama yake wa kambo
View attachment 2115127
Mwele Ntuli Malecela (alizaliwa tarehe 26 Machi 1963) alikuwa mkurugenzi wa taasisi ya tafiti za kiafya Tanzania (NIMRI).
Aliwania nafasi ya mgombea wa uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Kuanzia Aprili 2017 Mwele Malecela amekua akifanya kazi na Shirika la Afya Duniani (WHO) upande wa Afrika kama msimamizi wa maswala ya utawala, sera na ushauri wa kidiplomasia.
Pia, soma:
1) Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi NIMR Dr. Mwele Malecela
2) Rais Magufuli: Aliyetangaza ugonjwa wa ZIKA nchini alikuwa anatumika na ndiyo maana nilipomfukuza, waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi
3) Dr. Mwele Malecela aula WHO
4) Dr. Mwelecele (aka Mwele) Malecela pamoja na Dr. Kigwangala wamechukua fomu ya kugombea Urais wa JMT

Babaake mange alijiua baada ya kuzaa na sijui kama kweli, Sasa alimuoa lini? Paskali kasema alikuwa MC wa harusi ya Dr. pascal mayala njoo utoe ushuhuda.Babaake Mange alimuoa Dk Mwele Malechela.
Siyo kweli ni 58+ Amezaliwa 26 March 1963. Rest in Eternal Peace Dr. Mwele.
Rest well Mwele, Mwele Ntuli! You were one of the finest brain in Tanzania! You furthered research on NTDs! and surely matende and mabusha are a history in Tanzania!She is very beautiful woman🥰🥰🥰
View attachment 2115165