Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Awataje waliotoroka na kuchanjwa kimyakimya na Sasa wamepata matatizo.Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
mungu Zimerudi wa wa Iseni Mwanza?Safi Sana
Serikali makini haijawahi tokea
Magufuli Ni chaguo la MUNGU
Wametengeneza malimao na pilipili NIMRCAF. Wanasayansi Hawa wameendelea Sana.Hvi NIMRI wanafanya nn au nao wanajifukiza? Kwa nn maghufuli asiifute NIMR na kuwafukuza wote kazi ...mpak sa hv hawajaonyesha effort yyte ya wao nao kutafta chanjo ...wamekaa tu kusikiliza matamko ya Wana siasa
Waziri kasema, humuamini waziri mwenye PhD?Kuna watu walienda kuchanjwa kimyakimya?
PJ ni Paul James Masanja.PJ na Baby Kabae!
Mwigulu acha siasa.Tunaka wanasayansi wetu watueleze ki-utafiti kwamba hizo chanjo zina madhara gani?Mbona wanasema tuu hazifai ila hawesemi utafiti wao unaonyesha mapungufu gani kwenye hizo chanjo.Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Shida sio upumbavu wao,shida ni pale wanapofikia hatua ya kupromote upumbavu wao mpaka kwenye international mediaIndia, Brazil, UAE, Indonesia kuna baridi? Awamu hii tunaongozwa na watu pumbavu sana
Chanjo ya Ndui ilifanyiwa majaribio Dar?Ipo logic ndani yake.....
politiki mzee!!!Nchi za baridi lakini binadam ni yule yule body temp ni 37°C
Kwani ni dawa gani hazijaanzia kwenye nchi za baridi.. tuache ujuaji
Sisi wa mikoani ya Iringa, Njombe, Mbeya na Kilimanjaro au Arusha.Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Sawa tengenezeni chanjo yenu kama hiO za wazungu ni fekiTujiulize kama chanjo yao ni real sio feki kwa nini waliopata chanjo nchi zao wanawazuia wasisafiri kwenda nchi zenye Corona au zilizokataa chanjo?
mtu ukipata chanjo iwe a ndui au yellow fever ruksa kusafiri nchi yeyote hata iwe na huo ugonjwa.
wazungu wanaogopa nini si waruhusu watu wao waliochanjwa kwenda popote na ndege zao zianze kuruka kama kawaida kwenda popote duniani.
Hizo chanjo zao feki serikali ikomae hivyohivyo hakuna kuzipokea.Wazungu wasitufanye watanzania mabwege
Hakuna kupokea chanjo yao hata wakiileta bure
Ulaya na Marekani wamechanja watu wao kinachowafanya wawazuie watu wao kusafiri na ndege zao kuruka kwenda pipote duniani hata nchi zenye corona au zilizokataa chanjo ni nini? Hawaiamini chanjo yao? kama hawaiamini sisi ndio tuiamini?Sawa tengenezeni chanjo yenu kama hiO za wazungu ni feki
Halafu msizuie watu kuchanja. Watu wachague wenyewe kama wachanje au wasichanje.
Dar es salaam ndio Tanzania bwashee!Sisi wa mikoani ya Iringa, Njombe, Mbeya na Kilimanjaro au Arusha.
Hatuhusiki etu
Yeye anazungumzia joto la nchi!Joto la binadamu ni 36.9oC bila kujali yupo wapi.