Dkt. Mwigulu: Kabla ya Samia kuingia madarakani mabenki yetu yaliishiwa pumzi

Akina Sabaya, kazi yao ilikuwa kuchungulia accounts za wafanyabiashara and then kuwatengenezea zengwe ili watoe hela
Kinachoniuma kuna wafanyabiashara hadi leo bado hawajasimama.. Wapo hoi
Kuna mmoja alikuwa anaagiza spare za pikipiki/ Bajaji.. Nje ya nchi.

Walimdaka akaonyesha anavyolipa kodi.. Task force ya Jiwe wakamwambia unalipa kidogo.

Wakamlamba zaidi ya M 110 benki.

Mpaka leo hana uwezo wa kuagiza.. Hana mtaji.. Watu walifilisiwa.

Tuombe tuu uongozi ule usije tena katika nchi hii
 
Maisha bila unafki hayaendi - Edo Kumwembe
 
Hali ilikuwa mbaya, mtetezi wa wanyonge alikuwa mtu wa hovyo sana
 
Kuna siku, kutatolewa kitabu kuelezea jinsi utawala wa Magufuli ulivyokuwa mbaya kuliko utawala mwingine wowote nchini mwetu. Na kitabu kitapata mauzo makubwa sana. Na ndipo itaamliwa, pivha yake kutoonekana ofisi yoyote ya umma.
 
Ndio ukweli huu hata kama ni mchungu,mabenki madogo yalikufa au kulazimisha kulingana Ili yaendelee ku survive.

Lakini saizi hadi microfinances ni kicheko meno nje 👇

 
Siku akija Rais mwingine halafu akampa fursa,huyu hachelewi kusema awamu iliyopita nchi Ilikuwa ICU Kwa madeni🤣🤣🤣!
Kwa Sasa anakula mema ya nchi na kucheza midundo ya mtawala!
Hawezi kusema hovyo kwa sababu yeye ndio mtunza kibubu.

Afu tabia ya kuponda wastaafu iliasisiwa na Jiwe Wacha apewe mishale huko huko aliko 😬😬
 
Yuko sahihi Kilicholeta shida hiyo ni kitengo cha Anti money laundering na TRA
Mfano wewe Dalali wa mteja anakuwekea Milioni 20 kwenye Akaunti umnunulie mzigo mfanyabiashara wa kongo au Zambia au Malawi au mtu wa mikoani TRA walikuwa wanatreat zote kama mauzo yako ndio maana Kariakoo images business.Walitreate ni income wakiona tu pesa zimeingia kwenye akaunti hiyo wanachululia income! Wakati ni pesa iko held on trust huanza chochote .Waligeuza Akaunti za kampuni kama income akaunti na income statement kwa kila kilichoingia

Au mteja anakuachia mazao umuuzie umpe chake huwezi kaa na mipesa yote nyumbani ukienda ku deposit bank maswali Mia moja unatoa wapi kelele kibao kuwa wewe mtakatisha pesa zinazulumiwa watu wakaacha ku deposit kwenye mabenki anti money laundering walihamia na mifumo yao counter za benki watu wakaona isiwe shida tutakaa na pesa zetu nyumbani yaani hata ku deposit tu shida taabu ya nini?

Mimi ni mmoja nilipiga kelele sana humu kuwa Kitengo cha Anti money laundering kitaua mabenki nobody cared.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…