Uko sahihiKuwe na option kwenye interview mtu achague lugha anayotaka kujieleza
Wanafanya kwa Lugha zao na Vyuo hao kufundisha kwa Lugha zaowachina,warusi,waarabu Wana fanya usaili wa kazi kwa lugha gani?
Labda kitumike kwa masomo ya arts yaliyojaa porojoHii imekaa vizuri wengi wanashindwa kufanya interview sababu ya mkinzano na ujuzi mdogo wa kingereza
Yaani bado tunaendelea kuonuesha ujinga wetu. Wee lugha ya malkia ndio ilishatawala. Tusiumizane vichwa tujadili vitu vya msingi na sio trivial mattersImekaa vibaya,tuseme umesomea HR management au engineering,utaulizwa Nini Sasa kwa kiswahili ? Mimi binafsi ukiniuliza maswali kwa kiswahili vitu vingi sijui
Mimi naweza kusema nafahamu kiingereza vizuri kuliko kiswahili
NImehudhuria interview kama 3 hivi kuwafanyia usaili watu wanapewa option hata kama una PhD unachagua lugha mwenyewe hiyo kwa kweli niliipenda sn hata ukichagua kiswahili huzuiwi kufafanua kwa kiingereza inakuwa Swahili-EnglishUko sahihi
Sababu nchi bado ina mifumo miwili ya swahili medium schools na English medium.schools Mtu achague interview ahojiwe kwa Lugha ipi.Ila kwa level ya digrii sidhani kama mtu atakubali interview ahojiwe kwa kiswahili.Atapata shida ya kufa mtu kutafuta maneno ya kiswahili
Fikiria umesoma electrical engineering
Halafu upigwe maswali ya kiswahili.Kwanza waandaaji maswali wenyewe ya kiswahili utawatoa wapi sababu wao wenyewe wamesoma kwa kiingereza hiyo fani
Ni.kupotezeana muda tu
Sio Kila Kazi zitasailiwa kwa kiswahili..Uliona mifano aliyoitoa?Imekaa vibaya,tuseme umesomea HR management au engineering,utaulizwa Nini Sasa kwa kiswahili ? Mimi binafsi ukiniuliza maswali kwa kiswahili vitu vingi sijui
Mimi naweza kusema nafahamu kiingereza vizuri kuliko kiswahili
Bora mimi nisailiwe kwa kiswahili hiyo hiyo engineering kwa sababu kila mtambo una jina lakeLabda kitumike kwa masomo ya arts yaliyojaa porojo
Daktari au engineer useme umfanyie interview kwa Lugha ya kiswahili hawezi kukubali
Bila shaka usaili ni kwa kiswahili ila itatoa options ya matumizi ya lugha hasa kwenye oral au mahojiano..iwe kwa kiswanglish, hiki watanzania wengi tunakijua...
Elimu toka msingi mpaka chuo kikuu iwe kwa Kienglisn hapo itakuwa sawa....
Watu wanafikiri wanakosa ajira kwasababu ya lugha ajira hakuna pia kiswahili ni kigumu sana kuliko kingerezaImekaa vibaya,tuseme umesomea HR management au engineering,utaulizwa Nini Sasa kwa kiswahili ? Mimi binafsi ukiniuliza maswali kwa kiswahili vitu vingi sijui
Mimi naweza kusema nafahamu kiingereza vizuri kuliko kiswahili
Fafanua kidogo, unamaanisha uelewa wa hizo fani hauna maneno ya kiswahili? Maana kwenye usaili tunataka kujua ni nini unachokijua kuhusu kazi unayoiomba, sasa ukisema unaweza kuyasema hayo kwa lugha moja, ina maana umekariri au???? Au ni wapi sijakuelewa.Imekaa vibaya,tuseme umesomea HR management au engineering,utaulizwa Nini Sasa kwa kiswahili ? Mimi binafsi ukiniuliza maswali kwa kiswahili vitu vingi sijui
Mimi naweza kusema nafahamu kiingereza vizuri kuliko kiswahili
Hiyo inaitwa Mbaazi akikosa maua husingizia juaWatu wanafikiri wanakosa ajira kwasababu ya lugha ajira hakuna pia kiswahili ni kigumu sana kuliko kingereza
Shida kubwa ni elimu yetu tunasoma kujibu maswali ya mtihani. Sio kuweka maarifa akilini.Anayejuwa taaluma yake hashindwi kueleza afanyacho.
Kwani umeambiwa ueleze terminologies kwa kiswahili? Hata instructions hujapewa unaanza kutengeneza mashaka.
Wengi watataka kuhojiwa kiingereza .Imekaa vibaya,tuseme umesomea HR management au engineering,utaulizwa Nini Sasa kwa kiswahili ? Mimi binafsi ukiniuliza maswali kwa kiswahili vitu vingi sijui
Mimi naweza kusema nafahamu kiingereza vizuri kuliko kiswahili
Wanafanya kwa Lugha zao na Vyuo hao kufundisha kwa Lugha zao
Tanzania Vyuo vyetu kiingereza ndio hutumia kufundishia sio.kiswahili
Hiyo ni hotuba ya bajeti au ni hotuba ya Waziri Mkuu, wizara ya elimu au wizara ya utamadumi? Na hao watoto wetu wakishindwa kwenye usaili tutaomba na lugha yetu ya asili iwemo! Waendelewa hiyo huita "competition towards the bottom." Sawa na kupunguza kiwango cha ufaulu ili wanafunzi wengi wafuzu mitihani. Hivi Watanzania tunafikiri kweli!Kiswahili ndio lugha yetu inatambulika SADC na Umoja wa Afrika. Wazri wa fedha ahoji sababu ya kufanya usaili wa watumishi wa serikali kwa lugha ya kiingereza na kushindwa kukipa nguvu Kiswahili.
Ameshauri kishwahili kitumike katika usaili