Akihojiwa kingereza alichosomea sekondari hadi chuo kikuu huwezi jua kuwa kwenye kichwa ana kitu?Hapana, kiingereza kiendelee kutumika kwa usaili wa wasomi wa ngazi ya degree kwenda juu!
... ni njia sahihi kabisa ya kujua kama kuna chochote ndani ya fuvu husika!
Kama huwezi kufanyiwa interview kwa lugha uliyotumia kujifunza maana yake hujaambulia kitu kwenye mafunzo yako!Akihojiwa kingereza alichosomea sekondari hadi chuo kikuu huwezi jua kuwa kwenye kichwa ana kitu?
Ujue na anayeendesha interview kasema Vyuo hivyo hivyo alivyosoma huyo anayemhoji au naye fuvu la kichwa kingereza hakipandi ndio maana anataka a interview kiswahili? Wakutane waswahili watupu Mafuvu matupu ambayo wote kingereza hakipandi kuanzia anaye hoji ns anayehojiwa
Hii ni kweli kabisa.Imekaa vibaya,tuseme umesomea HR management au engineering,utaulizwa Nini Sasa kwa kiswahili ? Mimi binafsi ukiniuliza maswali kwa kiswahili vitu vingi sijui
Mimi naweza kusema nafahamu kiingereza vizuri kuliko kiswahili
Imekaa vibaya,tuseme umesomea HR management au engineering,utaulizwa Nini Sasa kwa kiswahili ? Mimi binafsi ukiniuliza maswali kwa kiswahili vitu vingi sijui
Mimi naweza kusema nafahamu kiingereza vizuri kuliko kiswahili
Mwigulu anajaribu kuwatetea Waandaa interview waliosoma shule za Kayumba sababu wakikutana na vijana waliosoma English medium wanamwaga kingereza ambacho muandaa interview anabaki midomo wazi vocabulary zinawaishiaKama huwezi kufanyiwa interview kwa lugha uliyotumia kujifunza maana yake hujaambulia kitu kwenye mafunzo yako!
NB: VIJANA MSIDANGANYWE NA WANASIASA, JIFUNZENI KIINGEREZA, CHA KUONGEA NA KUANDIKA, KWA BIDII!
KIINGEREZA NDIO KISWAHILI CHA DUNIA!
Au wa ajira? Kaingilia majukumu ya Waziri wa ajiraSasa yeye ni waziri wa elimu?
Kwani Kiswahili kinahusikaje na Bajeti? Mwigulu amekuwa Waziri wa Utumishi?Kiswahili ndio lugha yetu inatambulika SADC na Umoja wa Afrika. Wazri wa fedha ahoji sababu ya kufanya usaili wa watumishi wa serikali kwa lugha ya kiingereza na kushindwa kukipa nguvu Kiswahili.
Ameshauri kishwahili kitumike katika usaili
Unaelewa au umekariri?Anayeelewa anaweza shindwa kujieleza kwa lugha mama kama kweli alielewa alichokuwa anasoma?.Imekaa vibaya,tuseme umesomea HR management au engineering,utaulizwa Nini Sasa kwa kiswahili ? Mimi binafsi ukiniuliza maswali kwa kiswahili vitu vingi sijui
Mimi naweza kusema nafahamu kiingereza vizuri kuliko kiswahili
Interviews ni zaid ya hayo. Hayo maswali uliyouliza ni mepesi sana. Kuna technical terminologies kuhusu taaluma yako. Probably umezisoma hizo terminologies for 4 years.. and umezifanyia kazi 2 to 3 years.. miaka hiyo yote hujawahi fundishwa kiswahili cha hizo terminologies.Ina maana mtu akikuuliza utakayofanya juu ya au kuhusiana na taaluma yako utashindwa kumwelezea kweli? Yaani utashindwa kujieleza kuwa nafanya au nitafanya hivi na vile? Labda umekariri tu na hujui unachokifanya au utakachofanya sambamba na taaluma yako.
MNhhh atakuwa anachanganya Kiswahili na terminologies za Taaluma aliyosomea... confusion ya kijinga tu, watu wasome kwa Kingereza na Usahili pia uwe kwa Kingereza.Unaelewa au umekariri?Anayeelewa anaweza shindwa kujieleza kwa lugha mama kama kweli alielewa alichokuwa anasoma?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tuendelee kula mtori......Kiswahili ndio lugha yetu inatambulika SADC na Umoja wa Afrika. Wazri wa fedha ahoji sababu ya kufanya usaili wa watumishi wa serikali kwa lugha ya kiingereza na kushindwa kukipa nguvu Kiswahili.
Ameshauri kishwahili kitumike katika usaili
Kama ulisoma kwa kukariri hicho kiingereza na kumeza masomo tu,basi ni wazi hauwezi kujieleza kwa lugha mama ambayo 90% wanaitumia.Na kwa hali hii ndiyo maana nyinyi mnaojulikana kuwa wasomi mmeshindwa kuleta mabadiliko kwa jamii kwa sababu hamuwezi kuifikishia jamii mipango ya maendeleo kwa lugha sahihi na hasa mkizingatia 90% ya wanajamii wanatumia kiswahili.Kusoma unasoma kwa kizungu. Interviews kwa kiswahili
Lakini haiingii akilini unamfanyia interview kwa kiingereza wakati kazini kwake atatumia kiswahili kitupu muda wote. Kwa mfano mfanyakazi wa halmashauri unamfanyia interview kwa kiingereza wakati kazini kwake atawahudumia waswahili muda wote! Ni ujinga uliopita kiwango. Naona waziri anapointi hapo. Hao wanaoenda kufanyakazi kwenye mashirika yanayotumia kiingereza ni sawa kufanyiwa interview kwa kiingereza. Watz wengi tunasumbuliwa na slavery mentality tunafikiri kujua kiingereza ndio kuwa na maarifa ndio maana wasomi wengi wa kiingereza hawafanikiwi kwenye maisha ya kujiajiri.Akihojiwa kingereza alichosomea sekondari hadi chuo kikuu huwezi jua kuwa kwenye kichwa ana kitu?
Ujue na anayeendesha interview kasoma Vyuo hivyo hivyo alivyosoma huyo anayemhoji au naye fuvu la kichwa kingereza hakipandi ndio maana anataka a interview kiswahili? Wakutane waswahili watupu Mafuvu matupu ambayo wote kingereza hakipandi kuanzia anaye hoji na anayehojiwa