Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya

Watanzania pambanieni katiba mpya~~ tumekuelewa Dk Nchimbi
Mjane wa Marehemu lile shetani lenu la Chato hukuwahi kuona ubaya wa Shetani lenu lilipopiga chini mchakato wa Katiba licha ya kuwa Katiba mpya ilikuwemo kwenye ilani ya CCM
 
Uchangiaji wa mada kama hizi unatakiwa uwe mnafiki kwanza lakini changamoto ni mada yenyewe ilivyochagizwa...anyway naona mbinun ya kudhohofisha hoja za upande ule wa pili zikifunikwa kama enzi za Yuleee... wakati ulee....

Tunakumbuka upande "B" ni kama ulikosa hoja ya kutembelea enzi za Yuleee...ikabaki hoja ya anaminya sana demokrasia. Aiseee...tatizo mchezo unavyochezwa unachezwa kuhakikisha kuwa wengi wakifahamu wanakuwa wamechelewa sana. Mwisho wa siku mpiga ngoma ndiye mchezaji.

Wanacheza na delayed reality kwa kiwango cha juu sana kiasi kwamba kuhamisha imani ya kundi kubwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine inakuwa kama mchezo wa kundi moja.

Rejea " .....mnavyotaka ninyi ndivyo tunavyotaka sisi"..
 
Mjane wa Marehemu lile shetani lenu la Chato hukuwahi kuona ubaya wa Shetani lenu lilipopiga chini mchakato wa Katiba licha ya kuwa Katiba mpya ilikuwemo kwenye ilani ya CCM
Mtoto wa Kahaba Chura Mafi yanagonga pichu safari hii mnageukana sijui ninyi walamba mafi wa Kahaba Chura mtaishi vipi ?
 
Ccm sio yakuamini, hana ubavu wa kutoa kauli hii kama kweli huko ndani hawapiki ulaghai kwa watanzania.

Jiulizeni tangu lini kwa cheo chake hata kama ni cha mchongo amewahi tokea mtu katika nafasi iyo akawa na meno? Ni mpango mkakati tu, kwangu sioni jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…