PreGE2025 Dkt. Ndumbaro ataja sababu kuzuiwa kwa Martha Karua kutoka Kenya, na wenzake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hivi kushuhudia kesi mahakamani ndo kufanya kazi ya uwakili!? Kwahiyo sote tulioenda mahakamani tulifanya kazi ya uwakili? Kuna ombwe kwenye uongozi.
 
Kumbe ujui kua wakili anaweza kuongezwa hapo hapo mahakamani? Hivi mlisomea ujinga eti..
Kwahiyo anaweza kuongezwa wakili asiye na kibali cha kufanya hiyo kazi nchini!? Punguzeni hofu na kutojiamini.
 
Kwa mujibu wa Waziri wa Sheria Dkt Ndumbaro, Utaratibu ni kuwa Ili Wakili/Mwanasheria wa kigeni aweze ku-practise au kumuwakilisha mtu kama Wakili, ni lazima kwanza aombe na kupata kibali Cha Jaji Mkuu.

Hii ni kwa mujibu wa Sheria ya mawakili sura 341.

Hili lipo hata hapo Zanzibar. Wakili wa Tanzania Bara hawezi kufanya kazi ya uwakili Zanzibar bila kibali Cha Jaji Mkuu Zanzibar.

Waziri amehoji, Hao wanasheria kwao kunawaka moto, ndio waje wasaidie watanzania kuzima wa kwao? Huu ni unafki
 
Wageni wamekuja kusikiliza kesi unawazuia.
 
Huyu ndiye Waziri wa Sheria?
 
Kwani kuna mtu qliyewahi kujitambulisha kma Wakili wa Lissu?🤣🤣🤣🤣

Kweli tuna Serikali ya vilaza
 
Umepewa skript na wewe ulivyo juha umeileta bila kusoma, ona sasa AIBU unayopata hapa🤣
 

Kwani walikuja kufajya Uwakili? Serikali iache kupotosha.
 
🚮


View: https://x.com/fatma_karume/status/1924455784374558856?t=CZLdZ2WI7tOTgTP14hOj2A&s=19
 
We wacha tu. Imagine top four ya nchi ndiyo hii;
Rais: Form four, Katibu Masijara
Makamu PhD
Waziri Mkuu. Form four, Nwalimu Grade A.
Naibu Waziri Mkuu, Form four, Mwalimu Grade A.

No wonder Makamu ametoswa.
Daah! Aibu naona mm.

Nikija kupata mjukuu halafu akaniuliza kuwa "babu ilikuwaje mkaongozwa na vilaza"? Sijui nitajibu nini.
 
Procedures za Mhimili wa Mahakama zinawahusu nini watu wa Executive Branch?
 
Hako kawaziri kana ushetani mwingi sana, kuwazuia watu wakiokuja kama watazamaji na wasikilizaji tu ni aina fulani ya ushamba ujinga na mambo ya hovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…