PreGE2025 Dkt. Ndumbaro ataja sababu kuzuiwa kwa Martha Karua kutoka Kenya, na wenzake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nchi ya Tanzania kwa sasa inaongozwa kwa sheria haramu za kishetani kila kukicha mambo ya hovyo yanaongezeka
 
kwani walikuja kufanyia uwakili?
 
Wapumbafu wakipewa vyeo nchi huomboleza
Hicho kiwaziri ni mojawapo ya wale mawaziri wa hovyo sana kama yule mwenzake wa mambo ya ndani ambaye kwa sasa anaongoza kwa mambo ya hovyo kuwatuma Polisiccm kuwabambikia kesi wapinzani
 
Huyo waziri usikute hana Taaluma kichwani ni msomi feki wale hujiita wasomi kwa kuiba mitihani au kusoma kwa kukariri tu
 
HATA KAMA MTU HAJUI KUSOMA AMEELEWAπŸ™ŒπŸΎ
 
Huyu mheshimiwa atakuwa kiazi kabisa! Shughuli ya uwakili haifanyiki uwanja wa ndege. Maafisa uhamiaji hawakagui leseni za uwakili. Haikuwepo sababu ya kuwazuia kuingia Tanzania. Wangekataliwa mahakamani kama hawana leseni ya uwakili.
Yaani inashangaza kuona mtu mzima kabisa tena eti Dr. unaongea vitu vya aibu namna ile..

Ni nini hiki watanzania? Naona nataka kuchanganyikiwa sasa, naona watu wanafanya vitu vya ajabu hadi kichwa changu kinapata moto.

Ngoja nipumzike kwanza kwa siku hata mbili, maana nashangaa hadi nataka kuwa kichaa.
 
Na huyu ni Dr!
Rais Lincoln alisema '' better to remain silent and be thought a fool than to speak and remove all doubt''

Ret. CJ William Mutunga naye alikuja kama Wakili ?. Wapi Martha Karua ametamka kuja kama Wakili!

Kwanini wasiwatahadhirishe kuhusu vibali vya kazi bila kuwazuia na kuwa deport.
Martha Karua kasema afisa Uhamiaji aliwaambiahawaruhusiwi kuingia, hakuwaambia ni sababu ya vibali.

Ukimsikiliza Waziri wa Sheria mwenye Wanasheria na sheria halafu anaongea '' uelewa wangu'' kama mtu wa kijiweni utabaini tuna matatizo

JokaKuu
 
Huyu mheshimiwa atakuwa kiazi kabisa! Shughuli ya uwakili haifanyiki uwanja wa ndege. Maafisa uhamiaji hawakagui leseni za uwakili. Haikuwepo sababu ya kuwazuia kuingia Tanzania. Wangekataliwa mahakamani kama hawana leseni ya uwakili.
Na kweli huyu ni kiazi Tena mbatata!
 
Huyu mheshimiwa atakuwa kiazi kabisa! Shughuli ya uwakili haifanyiki uwanja wa ndege. Maafisa uhamiaji hawakagui leseni za uwakili. Haikuwepo sababu ya kuwazuia kuingia Tanzania. Wangekataliwa mahakamani kama hawana leseni ya uwakili.
Hakuna rocket science hapo
 
Pascal Mayalla ukiona mtu anaitwa profesa Tanzania kimbia umuache maana elimu yake na uwezo wake wakufikiri ni vitu 2 tofauti
 
Kichwa chake tu kilivyo unajua tu hapa ni 0....🀣
 
Watu wa namna hii ni rahis sana kudhuru watu na kudhulumu uhai....kwa sababu wao kila asiyekuwa sambamba nao wanamuona ni threat......yaan bora anyamaze....wanamuingiza mama chaka na mwisho wataaribu tz hvhv
 
Kujidanganya danganya tu
 
mumefanya kosa kubwa sana, huyu alikuwa wakupiga kwanza na kitu butu ndo anarudishwa kwao akawasimulie vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…