PreGE2025 Dkt. Ndumbaro ataja sababu kuzuiwa kwa Martha Karua kutoka Kenya, na wenzake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyu mheshimiwa atakuwa kiazi kabisa! Shughuli ya uwakili haifanyiki uwanja wa ndege. Maafisa uhamiaji hawakagui leseni za uwakili. Haikuwepo sababu ya kuwazuia kuingia Tanzania. Wangekataliwa mahakamani kama hawana leseni ya uwakili.
Jamaa umeongea pointi sana
 

..jaji mutunga na martha karua hawakuja kama mawakili, walikuja kama waalikwa wa chama cha wanasheria.

..Dr.Rugemeleza Nshala ameeleza utaratibu unaotumika kuwezesha mawakili wa nchi za jumuiya ya madola kufanya kazi ktk mahakamu kuu ya Tanzania.

..ikiwa Tundu Lissu ataamua Jaji Mutunga na Martha Karua wawe mawakili wa utetezi basi atalazimika kumuomba Jaji Mkuu wa Tanzania atoe ruhusa kuwezesha wanasheria hao kufanya kazi katika mahakama kuu yetu.
 
Waziri wa sheria haelewi haya! tuna tatizo sana.
 
Huyu naye akili yake ni fupi kama yeye. Nani alimwambia walikuja kufanya uwakili huyu fala???? Former Chief Justice Maraga alikuwepo mahakamani, je alifanya uwakili wewe nyani? Hakuna aliyekuja kufanya uwakili, walikuja kuangalia na kumsapoti mwana jumuiya ya Africa Mashariki, Anaongea pumba huyu. Huyu si ndiye alisema ukishangilia time pinzani ya nchi nyingine utakatazwa kuingia uwanjani hata kama umelipa kiingilio? Hawa mazwazwa wametokea wapi? Kila mwana jumuiya ana haki ya kwenda popote katika nchi zote za jumuiya ya Afrika Mashariki bila kuzuiwa na mtu yeyote ili mradi hajafanya kosa. Huyo Samia (Kichwa kipande anaogopa nini?). Hao mnaowaita viongozi wana shida kubwa ya akili, akiwemo huyo Kichwa kipande na hao polisi wake.
 
Huyu mheshimiwa atakuwa kiazi kabisa! Shughuli ya uwakili haifanyiki uwanja wa ndege. Maafisa uhamiaji hawakagui leseni za uwakili. Haikuwepo sababu ya kuwazuia kuingia Tanzania. Wangekataliwa mahakamani kama hawana leseni ya uwakili.
Anatufanya sisi mazumbukuku, yani konda wa daladala anakuzuia usipande daladala kwenda shule kwa sababu hujalipa ada kule shule.... Sasa mwaisa yeye konda ada ya kule shule inamuhusu nini!
 
Hawa viongoz ni viazi kabisa sasa kama hana leseni sindo vzur anahudhuria mahakamani kma mwananchi wa kawaida
 
Watu wenye vichwa mviringo kama huyu mbilikimo hata wawe wamesoma vipi wanabaki na utaahira fulani hivi mf. Chalamila, Mwijaku, Makalla,Dr. Mollel na wengineo.
 
🥱🥱🥱🥱🥱
Chukuwachakomapema WAOGA sana sana!
Na bado!
 
Kichwanii kuna mafiiii......njas iko kichwaniii
 
Huyu jamaa huwa na bichwa limekaa kama panzi
 
We bd ht hujitambui
 
Halafu huyo Damas Ndumaro ni learned brother, bora ujinga huu ungefanywa na mtu mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…