TANZIA Dkt. Peter Mamiro afariki dunia zikiwa zimepita siku mbili tokea mkewe(Prof. Delphina Mamiro) afariki dunia

Kweli wewe unamtindio wa ubongo, nadhani unaposti kutokea milembe. Yaani bado hujasikia kila mara ukipewa tahadhali? haya mdudu yupo chukua tahadhali. Umefurahi???. Ukifungiwa ndani uanaouwezo wa kula milo mitatu kwa muda gani? hata hapo milembe unapopewa chakula cha bure bado wanahitaji msaada wa kuwasaidia wahitaji. Any way Ufipa mnamatatizo, kamalizeni suala la kumng'oa katibu wenu maana pumzi zimekata KO na Makomandoo 19.
 
Mungu hawezi tulinda kwenye ujinga wetu
Si eti mungu alituepusha mkuu tulivyopiga maombi? Kwani saiz imekuwaje? Mdudu yupo kasi sanaaa mpk kauli zimebadilika kutoka kutokuwepo kwa mdudu hadi tahadhar zichukuliwe na saiz barakola ili kujilinda na kifua kikuuu, mwezi ujao tutegemee kusema barakola kwa ajiri ya mdudu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huyu mdudu naomba aangalie na sehemu za kutua. 😡😡😡
 
Yule hakua kwa ajili yetu
 
Akishaweka wazi kwamba yupo ndio huyo mdudu anaondoka? Nieleweshe tafadhali..
Hivi unaelewa kwamba wewe unafahamu kuhusu uwepo wa huyu dudu kwa sababu unatembelea social networks kama JF au Twitter?! Ulishapata kujiuliza wale ambao source yao ya habari ni TBC, ITV, Radio One and the like wanapata wapi taarifa?! Hivi kwa uelewa yako habari inayorushwa na hivyo vyombo ni ile ya Magufuli na yule Mama Chizi wanaosema Corona hamna au habari inayosema watu wanakufa kwa korona? Hivi unapopita mitaani unakuta watu wamechukua tahadhali?
 
Sasa ni dhahiri haki sio shwari. Hii 19, inatakiwa serikalini useme neno otherwise tunakoelekea hata SGR itakosa wa kuipanda.

Wanajifanya kukausha, lakini watambue kuwa Mwenyezi Mungu anawaona kwa kuficha ficha. Watu wataenderea kufa na dhambi wanazibeba shingoni
 
Hii sasa imekuwa normal. Hakuna nyumba inotoka jeneza moja katika wiki. Hatari
 
Inafika peak na kushuka kama kuna hatua zozote zinafanyika kujikinga na kuzuia, je unaona kuna hilo. Phase ya kwanza tulifanya haya vizuri sana ndio maana ilipungua, halafu tukajidanganya kuwa maombi yametuokoa. Kikubwa nchi na serikali yote ilifanya kampeni kubwa na kujikinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…