Dkt. Philip Mpango: Mimi ni mzima, walionizushia kifo nimewasamehe

Hao wazushi walitakiwa waseme Dr mpango ni mgonjwa, sio amekufa kama walivyosema
Walichokifanya hakipaswi kuungwa mkono.
Bora hao wamesema, yeye jiwe aliagiza kabisa watu wauwawe ili ccm iendelee kukaa madarakani.
 
Mkuu tumekusikia Ila acha tu Mungu atupiganie... Sisi si Ni wanyonge bana wao Wana marisasi ya kututandika na manguvu ya kutudhulumu haki zetu Ila Mungu atasimama tu Insha Allah
 
Nadhani katika watu wamedidimiza uchumi wa nchi hii huyu Dr Mpango anahusika
 
Amewaombea msamaha kwa Yesu au kwa Mungu? Hivi kwani watu wakifanya dhambi wanamkosea Yesu au wanamkosea Mungu? Maana nijuavyo mimi Yesu mwenyewe anamuomba Mungu.
Mkuu majizi ya kura yanajifanya majitu ya imani mpaka yanajichanganya. Hapo yanajifanya yanamtaja yesu, sijui Mungu ili kuhadaa watu kuwa ni wacha Mungu, wakati ndio wapanga mauaji ya wananchi ili wakae madarakani kwa shuruti.
 
Kwa hiyo ni kweli Dr. Mpango amelazwa? Na sasa kaanza kufanya “mazoezi ya kifua” baada ya ile changamoto ya kupumua kupata nafuu kiasi?

Tutafunguka taratibu tu. Facts and figures never lie.
Mkuu punguza chuki na HOFU
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Una habari kama Mbowe yuko Dubai?

Vidagaa wake mko huku.
Mmevuruga biashara zake makusudi kisa tu ana mawazo yake huru tofauti na yenu. mlidhani hatoweza Tena kusafiri au? Mijitu mna maroho mabaya nyie utafkiri mtaishi milele. Mjue Rizki hamgawi nyie na dunia hii Ni ya Mungu siyo yenu.
 
Mkuu majizi ya kura yanajifanya majitu ya imani mpaka yanajichanganya. Hapo yanajifanya yanamtaja yesu, sijui Mungu ili kuhadaa watu kuwa ni wacha Mungu, wakati ndio wapanga mauaji ya wananchi ili wakae madarakani kwa shuruti.
Mh...! Kuna kitu hutaki kuweka wazi. Wananchi walikunyoosha kwenye box la kura,sasa lawama kwa walioshinda uchaguzi.
 
Tanzania hawakuboresha huduma ya afya kabisa. Ndio watu kama Maaalim na uwezo na fedha wanaondola tu. Waziri Mpango akae hapo hapo na asiende nje ya nchi sababu ndio wenye nchi hao na waliamua kuipeleka Tz ilipofikia sasa hivi
 
Virus na Bacteria wanauwawa na Malimau, Tangawizi na Vitunguu? Ingekuwa hivyo Wazungu na Wachina wasingekufa Kwa Covid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…