Mkuu kutakiana kufa kupo sana kwenye siasa hasa awamu hii. Wenye mamlaka hulazimisha kuchomoa uhai, kama kupiga risasi 32+ wasio na mamlaka huwatakia vifo wenye mamlaka.unaongea as if wewe umekata inshwarensi kwmaba huwez kuugua au kujitia keyboard waria hapa.
nashangaa sana humu kuagiza flan afe mbona flan hafi.mauti yapo tu kwa kila mtu huwez kumpangia mtu afe kwa utashi wako wa kisiasa.
anaweza kuumwa kama tunavooumwa mim au wewe au mwingine na yyte anaweza kufa mnaleta siasa
Na yuko kitandani kutokana na COVID-19! Anasema Rais awe jasiri katika kuliongoza Taifa katika kipindi hiki cha wimbi hili! Ni wimbi gani analozungumzia Mh. Mpango?Ila kumbe yuko kitandani! Mungu amponye
Unauliza au unapigia jibu mstari?Lini mkuu, unaonekana mwongo sana jamaa yangu!
Mh...! Kuna kitu hutaki kuweka wazi. Wananchi walikunyoosha kwenye box la kura,sasa lawama kwa walioshinda uchaguzi.
Maisha yanaendelea baada ya uchaguzi.Ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Na ukitaka kujua ule ulikuwa upuuzi kama upuuzi mwingine, subiri uone kama utaona wapiga kura tena iwapo hakutakuwa na tume huru ya uchaguzi ama katiba mpya.
Duu kweli ukitazama yeye anavyojilinda nakuona Mkwere alivyo vaa mask Ndiyo ujue Zakuambiwa changanya na Zako Mkwere kajiongeza shauri yetuWe are not kids...anatudanganya tusijikinge wakati yeye kwa kutumia Kodi zetu kawekewa mavifaa ya Kinga kila kona
Maisha yanaendelea baada ya uchaguzi.
Unaelekea kuchanyanganyikiwa.Bora hao wamesema, yeye jiwe aliagiza kabisa watu wauwawe ili ccm iendelee kukaa madarakani.
Aliyesema hivyo vitu vinaua virus na bacteria nani?Virus na Bacteria wanauwawa na Malimau, Tangawizi na Vitunguu? Ingekuwa hivyo Wazungu na Wachina wasingekufa Kwa Covid.
Pointless, Uganda ya Idd Amin useme maisha yaliendelea? Nimekupuuza.Hata wakati Iddy Amini anaua watu Uganda, na makaburu wa kusini mwa Afrika wakiua na kutesa weusi, maisha yaliendelea.
Asijidanganye. Hali bado tia maji tia maji. Kwa umri wake na utendaji wa covid19 huwezi kuwa salama kwa uhakika. Tujifunze kwa maalim seif. Alishawashukuru watu kama kapona. Ghafla chini.Mazoezi ya kifua yanafanywa sana kwa Patients wanaorecover Covid19. Hongera sana Mpango kwa kuishinda Covid 19.
Unaelekea kuchanyanganyikiwa.
Pointless, Uganda ya Idd Amin useme maisha yaliendelea? Nimekupuuza.
Mpuuzi alafu umemfollow😂😂Kigogo ni mpuuzi sana
Ahaaa, ukizidiwa hoja boss usitafute sababu. Id nyingi? Zitanisaidia nini?Usichanganyikiwe ww unayatumia zaidi ya id moja, nichanganyikiwe mimi mwenye miaka 10 humu ndani kwa Id moja?