Dkt. Philip Mpango: Mimi ni mzima, walionizushia kifo nimewasamehe

kuugua si kufa, wazina wanakufa na wagonjwa wanapona. Mungu ni wa wote
 
Anaumwa nini ?
 
Huyo kigogo wenu walimuingiza chaka mpaka kamzushia kifo mzee Gharib Bilal na akaonekana kwenye kumswalia mzee Maalim Seif. Hii tu inaonyesha hana issue. Anaokoteleza vi habari kwenye source za mitaani.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe kweli alitembelewa na kakorona, kamafua, kagonjwa ka kishetani
 
nilidhani anasema mimi nimezushiwa ugonjwa wakati muda huu nipo shambani nalima au nipo ground nakimbia. au hata angesema mi nipo mzima nimezushiwa naumwa wakati muda huu nipo ofisini nachapa kazi.
 
....kuliongoza Taifa katika wimbi hili jipya..! Wimbi gani? Kuna wimbi linahusu nini wakati mnasema ni shwari? Unafiki utawaumbua tu.
 

Wale wapinzani mliowaua kwenye uchaguzi ili mkae madarakani kwa shuruti, nani aliwaagiza muwaue? Unajifanya una utu wakati hao hao ndio walipanga mauaji dhidi ya wapinzani. Kufeni maana pia mmeshaua wengi mabaradhuli wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…