Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Kwanini unaruhusu chuki kuugubika ukweli!? Hakika hiyo ni hatarii kubwa kwa afya ya akili yako.
..Ni Dr.Mpango mwenyewe ndio amesema alikuwa akitumia mtungi wa gesi kwa wiki mbili kabla hajahamishiwa hospitali. Sasa chuki inatoka wapi hapo? Kuna ubaya gani kila kaya kupewa mtungi wa oksijen?