Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Asee..!!..halafu anakohoa kwenye kiganja cha mkono na baadae anakwenda kuwashika wauguzi mikono. 😡
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asee..!!..halafu anakohoa kwenye kiganja cha mkono na baadae anakwenda kuwashika wauguzi mikono. 😡
Ilitangazwa rasmi kuwa alikuwa anasumbuliwa na huo ugonjwa au watu wanasadiki tu kuwa alikuwa anasumbuliwa nao?
Ahahahahaha..Yap!!
..wananchi tunaambiwa tumetegemee MUNGU peke yake.
..wakati VIONGOZI wanategemea MITUNGI YA OKSIJEN, baada ya hapo ndio wanamlilia MUNGU.
Vipi, unalo jibu la swali langu?Wewe naona unaishi Somalia?
🙏
🙏 Yaani kifo kimetuuma hicho. Yaani leo tunaambiwa Hali ya upumuaji imetengamaa usiku wake anaondoka. Jiwe Aache mzaha na maisha ya watu.
Ni kweli mpango amechoka!. Angetumia muda huu kupumzika. Anaumwa tena Sana.Hii video nimeangalia imeniumiza sana
WHY?Jifukizeni kwa nyungu, mtungi wa oksijeni nyumbani sio kwa kila mtu.
Bora Mungu amekuvusha aisee
Hatuna hela za uchaguz was marudio
Tuendele kumsifu Mungu
Hela tunakuwa nazo pindipo mtu ameunga juhudiBora Mungu amekuvusha aisee
Hatuna hela za uchaguz was marudio
Tuendele kumsifu Mungu
Ndo Maana mwarabu alikuwa anatutoboa miguu anatufunga minyororo. Watu Kama Hawa madaktari wazembe wanazidi kutudhalilisha sisi waafrika miaka mingi baada ya kumalizika biashara ya utumwajambo linashangaza sana sana yaani Dr Mpango anaongea na media kuna watu wamekaa karibu nae hamna mask,kwa kweli jamani mwafrika ni mwafrika tu
Uso umemshukaaa.....
Huna akili mpuuzi wewe.Bado hajapona,sema ICU wanaamini siku 21 mtu tokea awe positive,hawezi ambukiza tena. Hiyo ni theory tu. Hao Ma Dr wanajiaona vijana hata wakipata hawatakuwa na hatari ya kuzidiwa. Sema wanasahau wanaweza ambukiza baba zao,mama zao. Too sad.
Kwani Mpango yeye hiyo oksjeni alitoka nayo nyumbani kwake?!..unao mtungi wa Oksijen nyumbani kwako?
..Dr.Mpango alitumia mtungi wa oksijen kwa wiki mbili kabla hajahamishiwa hospitali.
Kwani Mpango yeye hiyo oksjeni alitoka nayo nyumbani kwake?!