Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Kwanini unaruhusu chuki kuugubika ukweli!? Hakika hiyo ni hatarii kubwa kwa afya ya akili yako.
Katika mazungumzo yake na waandishi wa habari Waziri wa Fedha Dr.Mpango amesema alitumia mtungi wa oksijen kwa muda wa wiki 2 kabla hajahamishiwa hospitali...
Issue sio mtungi Bali mapafu. Shangazi yangu alipigana na huo ugonjwa wiki 2 mpaka Madaktari wakaihakikishia familia kuwa ameshaushinda ugonjwa lakini Mambo yalibadika ghafla akafariki.Huyu Mzee bado anaumwa hata Sura yake na sauti inatia mashaka. kama mtungi wa Gesi umepungua mwambieni akajazie tena akae standby maana muda wowote anaweza kurudi tena
Unao mtungi wa Oksijen nyumbani kwako?Sijawahi vaa barakoa
Hivi Na kiwango chake Cha elimu level ya PhD hajamshauri Rais tu mpaka leo? Au kwa vile corona haiwezi kwenda kutibiwa India ambako Sisi kajamba Nani hatuwezagi kwenda?Nimefurahi hapo kwenye"Nitamshauri mh.Rais tuboreshe vya kwetu"
Issue sio mtungi Bali mapafu. Shangazi yangu alipigana na huo ugonjwa wiki 2 mpaka Madaktari wakaihakikishia familia kuwa ameshaushinda ugonjwa lakini Mambo yalibadika ghafla akafariki. Walichokuja kusema tena wale wale Madaktari ni kuwa mapafu yalikuwa yameathirika Sana. Ugonjwa huu ni mbaya Sana.
Hahahaha..Yap!!
..wananchi tunaambiwa tumetegemee MUNGU peke yake.
..wakati VIONGOZI wanategemea MITUNGI YA OKSIJEN, baada ya hapo ndio wanamlilia MUNGU.
Ilitangazwa rasmi kuwa alikuwa anasumbuliwa na huo ugonjwa au watu wanasadiki tu kuwa alikuwa anasumbuliwa nao?..Yap!!
..wananchi tunaambiwa tumetegemee MUNGU peke yake.
..wakati VIONGOZI wanategemea MITUNGI YA OKSIJEN, baada ya hapo ndio wanamlilia MUNGU.
🙏 Yaani kifo kimetuuma hicho. Yaani leo tunaambiwa Hali ya upumuaji imetengamaa usiku wake anaondoka. Jiwe Aache mzaha na maisha ya watu...Pole sana mkuu.
Ok bas asivae. Majibu yapo atayapata tu.Kwani lazima avae?
Wewe naona unaishi Somalia?Kwani huyu naye alikuwa anasumbuliwa na corona?
Kama leo ni siku yake ya tatu tangu atoke kwenye oxygen machine hii maana yake ni nini? Maana yake ni either rais alitudanganya kwamba ali chat naye au alikua akichat naye akiwa under intensive care huku akiwa kwenye oxygen machine
Pneumonia Kali.Hapana , Alikuwa na changamoto ya upumuaji
JK alishasema kuwa za kuambiwa changanya na zakwako.Yap
Wananchi tunaambiwa tumetegemee MUNGU peke yake.
Wakati VIONGOZI wanategemea MITUNGI YA OKSIJEN, baada ya hapo ndio wanamlilia MUNGU.
Asante sana kwa jibu zuri sanaNo! Alikuwa anazushiwa na yule KIGOGO!