Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Nenda kamuulize mgonjwa husika maana yupo ofisini tayariVipi, unalo jibu la swali langu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kamuulize mgonjwa husika maana yupo ofisini tayariVipi, unalo jibu la swali langu?
Ukikubali kuolewa basi lazima ufuate masharti ya ndoa!Mpango anaumwa sana bado, kama umeuguza mgonjwa wa Covid utajua Mpango hajapina, swali, kwanini ameuamua kuifanyia siasa afya yake? Kw maslahi ya nani hasa??
Unategemea angefanyaje?Ukimsikiliza kwa Makin kabisa
Anaanza maongezi akionekana mnyonge, anayekohoa sana na asiye na nguvu,
Mwenye bado baadhi ya vifaa na dalili za matibabu mkononi,
Sikiliza video na angalia kwa makini
Sikuona sababu ya yeye kujitokeza atumike kisiasa,
Maswali Muhimu:
Je katoka kwa hiari yake?
Kapewa oda kwamba kaseme hili na lile?
Baada ya hapo karudi wapi?
Britanicca
Nioneshe alievaa barakoa akajikinga na korona.Ndiyo maana nimesema utakuwa crazy! Kwani barakoa inakinga au inaponya?
Wewe una akili gani?Huna akili mpuuzi wewe.
Kweli bado ugonjwa upo sanaIla ulitaman usikie zile za wanakufa tu wanalazwa wanazidiwa.
Hii habari hata BBC hawqwez tangaza manake hawapendi watu wapone Ila wanapenda sana takwimu za vifo Pamoja ma wewe
Na bado
Nawewe ukilazwa kesho unategemea utapona?Ametupa tumaini sana kupona yeye imeonesha pia kumbe wapo wanaopona ametupa ujasir
We Gagnija huyo unamtaja@ Mmawia yupi?[emoji23][emoji23][emoji23] I thought I was reading from Mmawia!
Mpango asipopendwa na bavicha wachache haimzuii yeye kuendelea na maisha yake.Hiyo hawataki kujiuliza wanatakiwa wajue ni matokeo ya namna wanavyowatendea watu
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Ati alienda na mtungi wake dah😂😂😂Kumbe alikuwa anaumwa kweli? Nilijua mijamaa ilikuwa inazusha tu.
Mshukuru sana Mungu, usije ukakufuru ukamshukuru yule jamaa yetu kama walivyofanya wale vigogo wa Pentekoste.
Itakuwa wamechoma Kinga au wamezingatia social distancejambo linashangaza sana sana yaani Dr Mpango anaongea na media kuna watu wamekaa karibu nae hamna mask,kwa kweli jamani mwafrika ni mwafrika tu
Tena madaktari walianza kumtibu akiwa nyumbani kwake, ni watanzania wangapi wanafuatwa na madaktari nyumbani?Kwanini ukutumia ungo kukupepea? Fikiria iwapo umetumia mitungi ya oxygen zaidi ya siku kumi, wangonjwa wangapi wamekufa kwa kukosa huduma hiyo, nilimtegemea utaungana na watanzania wachache wanaosisitiza hatua zaidi za kujikinga na Covid-19 zichukuliwe, wewe unamsifia mtu ambae anamsifia mtu asiye vaa barakoa, unamatatizo sana!
We Mzee we we,fungu LA kumi linahusiana nini na sadaka ya shukurani.Mungu wa mbinguni ambariki!
Asisahau kwenda Kanisani kutoa fungu la kumi.