Dkt. Slaa adaiwa kubadilishiwa mashtaka kutoka ya uchochezi na kuwa ya uhaini

Naona kitengo kimefanikiwa kumuondoa mama kwenye Reli sio!!?

Ngoma ya dp imelia hadi ilani ya CHAMA na mipango ya serikali imefifia kabisa!!!

YAANI DP world imetumika ipasavyo kuua utulivu wa mama na kuanza ku deal watu badala ya mipango ya maendeleo na kuitangaza!!
 
Kama nakuelewa vile
Hivi nyinyi mnaamini kabisa huyu mama ni mkatili?

Yote anayoyafanya kuleta mifumo ya haki hamyaoni?

Hii ni hujuma ya ndani inayofanywa kwa mkakati maalum, issue ni Urais 2025, hawa kina Dr Slaa ni sadaka tu ya kuujaza chuki umma.

Mama anapaswa kujitenga mapema na hawa wahuni.

Emanuel Nchimbi ampe majukumu haraka, ondowa chongolo hapo kwenye ukatibu mkuu akae Emanuel Nchimbi ndio anaweza kumnusuru huyo mama.
 
Wewe endelea kuota tu

Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
 
Hii inatukumbusha wakati wa Raisi Salmin Amour kule Zanzibar Machano Khamis na wezake 18 walivoshitakiwa kwa kesi ya Uhaini walinyea MTONDOO sio chini ya miaka 3 DR slaa na wezake wajiandae

Mama asome historia ya Chief Dodo na Chief Swarwat.

Kumshikilia Dr Slaa umeshika mkoa wote wa Manyara na viungo vyake.
 
Huu ndiyo ukweli ambao wengi hawauoni. Kuna Kampeni inaendelea dhidi ya mama, kuna watu wamedhamiria, by hooks or crooks.

Mama ana mapumgufu yake kama binaadam, timu yake badala ya kuyafukia kwa faida ya nchi, wao wanayatumia kumdhoofisha.

Mpaka hivi sasa hajawahi kuunda serikali yake, kikanuni hili pia ni tatizo. Kuna orders zinagotea mahala, pamoja na kuapa, anabaki kuwa kama Spika au Jaji mkuu anapokua amekaimu nafasi hiyo.
 
Dikteta Samia
 
Sifa ya ubalozi wameiondoa?
 
Yote tisa cha msingi kuna mtu anajua fika kuwa vyesi vya mchongo mwisho wake ni aibu mahakamani.Hapa ni kudhalilishana na kupotezeana muda tu.Hakuna cha uhaini Wala nini.
 
Yote tisa cha msingi kuna mtu anajua fika kuwa vyesi vya mchongo mwisho wake ni aibu mahakamani.Hapa ni kudhalilishana na kupotezeana muda tu.Hakuna cha uhaini Wala nini.
Nani tena? mdude
 
Acha upotoshaji Kenge wewe. Sura ya Saba inaongelea maswala ya Mchango na Mapato, halafu ninyi mnaanza kutuletea upotoshaji.
Ndiyo maana huwa mnajibadili hadi matumizi ya kijinsia na kugeuzwa Mashoga.View attachment 2716770
Wewe ni mbumbumbu. Unapongelea Katiba hakuna kufanya reference kwa kitu kinaitwa "Sura ya" bali kuna ni "Ibara ya". Umekwenda kwenye Katiba kwa ujinga wako na kuleta uliyoyaleta.

Mimi nimekupa Sura ya 7 ya Kanuni ya Makosa ya Jinai (Criminal Procedure Act).

Halafu nyinyi ndiyo washauri wa akina Dr Slaa na Mwabukusi kwenye masuala ya sheria za mikataba. Pumbavu
 
Chezea DP world wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…