Dkt. Slaa afunguka mazito kuhusu hila za Dola na Polisi dhidi ya CHADEMA

Play the ball NOT man, jadili aliyoyasema ,mbona wewe ni shoga na hatujadili hili maana umeamua kuwa shoga ILA hoja zako hapa nitazijadili
 
Heee
 
..wewe unataka kutuhamisha kwenye hoja alizoziibua Dr.Slaa kuhusu Polisi na Tiss na hujuma zao dhidi ya Chadema.
Hii ndio hoja ya kujadili ,udhaifu wake binafsi hainuathiri mimi,kilichopp mbele yetu ni hoja zake ni za kweli?au sio
 
Huyu mzee naona ana mission ya kurudi chadema tena nawaonya chadema wawe makini na mtu huyu siasa za divide and rule zisharudi tena
Kwa sasa Chadema hawana katibu mkuu wa maana. Kwahiyo ni lazima atengenezewe mazingira ya kurudi.

Nina imani makamu mwenyekiti anajua kinachoendelea.
 
Kwa sasa Chadema hawana katibu mkuu wa maana. Kwahiyo ni lazima atengenezewe mazingira ya kurudi.

Nina imani makamu mwenyekiti anajua kinachoendelea.
Tundu Lisu atakuwa Mwenyekiti, Mnyika Makamu mwenyekiti na Dr Slaa anarejea kama Katibu mkuu

Hifadhi hii!
 
Huyu mwamba si alikuwa buluda huyu? Padri gani anabadilika badilika kama kinyonga?
 
Kwa sasa Chadema hawana katibu mkuu wa maana. Kwahiyo ni lazima atengenezewe mazingira ya kurudi.

Nina imani makamu mwenyekiti anajua kinachoendelea.

..John Mnyika yuko vizuri tu ktk nafasi yake.

..Na ukijipa nafasi ya kumsikiliza utabaini kuwa Mnyika anaijua Chadema na anashirikiana vizuri na viongozi wenzake.
 
Babu slaa anaongea kuntu ambazo kama zingefnyiwa kazi idara ya usalama ingekuwa na ufanisi sana labda tungeanza kuwa watu Bora kwenye sekta ambazo zinahitaji watu wenye uwezo mkubwa katika kuongoza na kupata taarifa ambazo zingesaidia sana nchi yetu
 
Mkuu hii ni zilipendwa, kipindi cha Magufuli hayo yalifanyika sana na Slaa akikaa kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…