Dkt. Slaa afunguka mazito kuhusu hila za Dola na Polisi dhidi ya CHADEMA

Kuna wajinga washasahau
 
Huyu jamaa kwa sehemu kubwa alichangia kufeli kwa upinzani mwaka 2015
 
Ndivyo inavyotakiwa ili tufikie maendeleo yanayotakiwa.

Kinyume na hapo kodi zote zinaishia kwao. Pesa za maendeleo mpaka tukope kwa wazungu
 
Huyu mtu si wa kumwamini.
Asikilizwe na aachwe tu hapo hapo.
 
Kaishiwa, Mwanasiasa makini huwa stable. Huyu Dkt Slaa kapoteza uaminifu kwa wananchi, hasa alipokimbilia CCM na kutunukiwa Ubalozi. Yaani Ubalozi ndio akisaliti chama chake na wanachama wake. Tuache hayo!

Hii ni gia ya kutaka kurudi CHADEMA. Tafadhali CHADEMA msifanye kosa tena, mna vijana wengi wa kushika nafasi za chama. Slaa umri umekwenda, mawazo yake yamezeeka na fikra zake zina ukakasi.

Msikubali kurudi CHADEMA, acheni apige kelele tu huko nje. Msimuogope!
 

..akikaa huko nje anaweza kutumiwa na Ccm dhidi ya Cdm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…