Dkt. Slaa ahutubia mkutano wa CHADEMA. Asema sasa imekomaa kuongoza nchi

Lowassa aliyezaliwa CCM mlimpokea na kumuamini na kumpa nafasi ya kugombea uraisi. Iwe kwa slaa

Chadema wengi ni majuha, hayanaga akili
Hasira zako za kuchapiwa na mda wote kulea mtoto siyo wako unahamishia kwa chadema.
 
Lowassa aliyezaliwa CCM mlimpokea na kumuamini na kumpa nafasi ya kugombea uraisi. Iwe kwa slaa

Chadema wengi ni majuha, hayanaga akili
Wewe za kwako ziko wapi? Kama unampenda mchukue muanzishe naye chama chenu. Kelele za nini?
 
Yaani udevelop hisia zako mwenyewe halafu uanze kuwavurumishia mate chadema? Hopeless fellow.
 
Tuwekane sawa
Amehutubia mkutano wa CHADEMA au Amehudhuria mkutano wa CHADEMA?

TUSICHOSHANE
 
Political science.... we got a long way to go [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…