Dkt. Slaa ahutubia mkutano wa CHADEMA. Asema sasa imekomaa kuongoza nchi

Kote, tatizo la Tanzania ni Tume ya uchaguzi kuwa upande wa CCM.
Tume huru ya uchaguzi haupewi kwenye sahani, inalazimishwa, kama Tanzania upinzani umeshindwa kulazimisha kupata hiyo tume ina maana ni dhaifu
 
Usipotoshe, dr Slaa amepigiwa sim na mwenyekiti arudi akaokoe jahazi baada ya m'beleji kuingia mitini.

Kama CDM ingekuwa na mvua yule m'beleji uchwara asingeingia mitini maana angekuwa na uhakika wa kuchukua nchi.

Dr ameitwa baada ya viongozi kuona chama kimefikia maji ya shingo na ni Dr pekee ndo anaeweza kujitahidi kukirudisha kwenye reli.

Hata hivyo amechelewa kwani watanzania wa leo sio wale wa Mwembeyanga au Soweto Arusha.
Ukiona habari haijaandikwa na mwenyekiti wa chawa mheshimiwa Erythrocyte basi ujue kuna jambo kaliona halipo sawa hapo chamani kuhusu huyu mzee kurudi Chadema.

So wewe endelea kujidanganya na kujicheka mwenyewe pembeni.
 
Hakika waswahili wanasema kuwa shukrani ya punda ni mateke.

Tuyaache hayo ya kiswahili.
Dr Silaa amewageuka waajiri wake wa mchongo mara baada ya kushiba.

Naona sasa kuwa huyu babu anacheza na jinsi upepo wa siasa unavyokwenda ndani ya vyama vikuu hapa Tanzania [emoji1241] yaani CHADEMA na CCM.

Keshaona kuwa cdm sasa ndiyo kipo kwenye mvuto mkubwa sana kuliko kule ccm aliko kimbilia ili ajaze tumbo lake.

Naomba tumsikilize anaweza akawa yupo Sawa maana maisha ni kupanga na kuchagua.View attachment 2531369
Miaka hiyo yote, hata Kiswahili bado ni shida! Ubarozi ni nini?
 
Ni Kweli bt taasisi kama mfumo unategemea watu wenye capacity,

Dr MASHINJI Kwa mfano alifikia uwezo wa Dr Slaa, au Mnyika anatosha?

Nionyeshe ndani ya CDM au ndani ya CCM mwenye capacity inayofkia Dr Slaa.
Hiyo "capacity" ya Dr Slaa unaipima kwa vigezo vipi?

Kama unaamini nguvu ya hiyo "capacity" ya Dr. Slaa, ikawaje Chadema iendelee kuwa popular hata bila ya uwepo wake?

Usimkuze huyo mzee kupitiliza, hiyo "capacity" yake unaiona wewe na wenzio, hata mimi nilikuwa namkubali sana, lakini baada ya kuondoka nami nikamuondoa kichwani kwangu, na sijawahi kujutia huo uamuzi wangu.
 
Wachana na maadui wa cdm
 
Tume huru ya uchaguzi haupewi kwenye sahani, inalazimishwa, kama Tanzania upinzani umeshindwa kulazimisha kupata hiyo tume ina maana ni dhaifu
Huu ni mtazamo wako, kama unataka mapambano ili Katiba Mpya ipatikane tupe mbinu tuzisome hapa, usiimbe tu..

Vinginevyo, huu wimbo wa Katiba Mpya hailetwi kwenye sahani wakati mwingine naona unaimbwa kwasababu za kimazoea tu, ni sawa na wale waliopigania uhuru uwaambie wanaweza kuupata bila mapambano.

Wasingekuelewa kama majirani zao waliupata kwa mapambano, lakini imethibitika hata bila mapambano uhuru ulipatikana, kama wakenya waliipata Katiba yao kwa mapambano haiwezi kuwa lazima kwetu pia tupitie njia hiyo.
 
Kama hawangemtibua Silaa ungekuta Chadema wapo juu sana. Alijitahidi kukiondoa chama kwenye mfuko wa mtu mmoja ila akamwaga manyanga.
Acha kupotosha watu!!kwenye mazingira ya utawala wa jiwe angefanya nini?!!nani hajui kilichotokea na hata sasa ni njaa tu ndio imemuibua kama baada ya kustafu ubalozi angepewa cheo hata cha uenyekiti wa bodi haya angeyasema?
 
Hiyo "capacity" ya Dr Slaa unaipima kwa vigezo vipi?

Kama unaamini nguvu ya hiyo "capacity" ya Dr. Slaa, ikawaje Chadema iendelee kuwa popular hata bila ya uwepo wake?

Usimkuze huyo mzee kupitiliza, hiyo "capacity" yake unaiona wewe na wenzio, hata mimi nilikuwa namkubali sana, lakini baada ya kuondoka nami nikamuondoa kichwani kwangu, na sijawahi kujutia huo uamuzi wangu.
Kama CCM inaridhiana na CDM na Umekubali.

Iweje CDM kuridhiana na Slaa iwe jambo gumu?

Kupata Katiba mpya tunamhitaji kuunganisha makundi yote, wote wenye kuamini ktk Katiba mpya tuwaunge mkono hata nje ya CCM kama Mpina na wenzie.

Msameheni Mzee huyo, matendo yake yanaonyesha kajirudi, tusilaani, tusameheane, ndo msingi wa maridhiano.

Mungu ibariki TANZANIA,

Mungu ibariki CDM,

Amen
 
NI HEKIMA MBOWE AJIVUE UENYEKITI KWA SASA NA AMPATIE SLAA.
::CDM shall reborn again
Kama Mbowe anaondoka, atafutwe mtu mwingine,

Dr Slaa arudi ukatibu mkuu, nafasi ya mkt Si kiutendaji zaidi kama katibu mkuu,

Mh Lissu akikalishwa na viongozi wa dini vizuri na kufundishwa BUSARA na HEKIMA, atafaa nafasi ya Uenyekiti.

Mnyika anafaa kuandaliwa kuwa mgombea Urais,

Nafasi ya Urais uchaguzi ujao Mapambano yatakuwa lake zone, hivyo Mnyika ni time yake.
 
Halafu Jokate arudiane na Mnyika au?
 
Usipotoshe, dr Slaa amepigiwa sim na mwenyekiti arudi akaokoe jahazi baada ya m'beleji kuingia mitini.

Kama CDM ingekuwa na mvua yule m'beleji uchwara asingeingia mitini maana angekuwa na uhakika wa kuchukua nchi.

Dr ameitwa baada ya viongozi kuona chama kimefikia maji ya shingo na ni Dr pekee ndo anaeweza kujitahidi kukirudisha kwenye reli.

Hata hivyo amechelewa kwani watanzania wa leo sio wale wa Mwembeyanga au Soweto Arusha.
Ukiona habari haijaandikwa na mwenyekiti wa chawa mheshimiwa Erythrocyte basi ujue kuna jambo kaliona halipo sawa hapo chamani kuhusu huyu mzee kurudi Chadema.

So wewe endelea kujidanganya na kujicheka mwenyewe pembeni.
Thibitisha HOJA zako, ni kama una hoja,

Una HAKIKA baada ya 2 weeks Lisu hatorejea?

What if Slaa anakuja kuongeza nguvu iliyopo na Lisu wakisaidiana ktk mchakato wa KATIBA mpya?
 
Naikumbuka hotuba yake ya Tarehe 2 septemba 2015 pale serena Hotel, aliuliza maswali mawili ya msingi kabisa na mimi napenda kumuuliza maswali hayohayo, Je kwa sasa Dr. Slaa ni asset au ni liability?? kama ni asset je hayo anayoongea anaaminika kwa kiasi gani?
 
Lowassa ni liability na alithibitika pale alipoamua kurudi CCM alikotoka,

Dr SLAA ni ASSET sababu alitoa sababu za kutojihusisha na siasa,

Ikumbukwe Dr SLAA hakuwahi kurudi CCM kama lowassa.
 
Back
Top Bottom