Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile siku ya kumpokea Lowassa Chadema, Dr. Slaa alikuwepo pale, yule hakuwa na msimamo, alikuwa kigeugeu.Ni wapumbavu TU wanaomwita Dr .Slaa Msaliti.
Dr.Slaa hakuwa tayari kumweka madarakani Lowasa . Alikua ameshamtangaza kuwa ni Fisa aliyewaibia watanzania kupitia serikali ya CCM. Sasa angewezaje Tena kumweka madarakani Mwizi.
Ni sawa na kumwachia nyumba kibaka ili alinde.
Slaa alipima kati ya kumpigia kampeni Lowasa na kumsema vibaya JPM ambaye Kwa wakati ule ndiye Waziri Aliyekua anasifiwa na kila mtu Kwa uchapa kazi na kuwashughulikia makandarasi wababaishaji.
Aliona dhamira yake itamsuta.
Dr. Slaa mbali na siasa lakini ni mcha MUNGU. Anaamini katika haki,wema ,ukweli, ,uadilifu na msimamo wenye dhamira njema.
Dr. Slaa akirudia Chadema nitamuunga mkono asilimia mia moja
Taasisi haitakiwi kumtegemea individual, kama ikiwa hivyo basi itaanguka mapema sana.Hatimaye CDM wamesikiza ushauri,
Binafsi nimekuwa nikishaauri wazi umuhimu wa Slaa CDM,
Nashauri arudi nafasi ya Katibu mkuu wa chama, chama kitaimarika sana kimkakati na kisera kuepuka siasa za matusi ,ushabiki na kuvizia matukio.
Dr Slaa anaweza kuwajibu Kwa HOJA wazee wa CCM kama wassira na PINDA kuelekea kupata njia ya kuandika KATIBA mpya.
Ni kwema mbeleni, ni kwema mbeleni.
Mungu ibariki TANZANIA,
Mungu ibariki CDM.
Aamen
Ni Kweli bt taasisi kama mfumo unategemea watu wenye capacity,Taasisi haitakiwi kumtegemea individual, kama ikiwa hivyo basi itaanguka mapema sana.
Mzee alistafu siasa vipi Tena?
Walijaribu kuanzisha chama ikashindikana, so CDM ni Mahali sahihi kuunganisha nguvu.Mzee alistafu siasa vipi Tena?
Mi naona umeangalua upande mmoja muongelee Slaa zaidi je,ni njaa,mapenzi yake kwa cdm au ni mpinzani by natureKama ni kweli basi mbowe na wahuni wenzie wamekubali kuwa chadema ipo shimoni sasa wanatafuta mtu wa kukitoa chama shimoni .. wakumbuke huyo jamaa alikuwa mfuasi wa siasa za magufuli [emoji1787]tuliwaambia chadema siku nyingi kuwa kumpinga mzalendo ni kujichimbia shimo wenyewe wakabisha ....chadema washukuru kuwa sasa hivi hakuna chama chochote cha upinzani chenye kubeba legasi ya nyerere wala magufuli vinginevyo wangebaki mdomo wazi maana kifo cha hicho chama kinge vunja rekodi ya vifo vyote
Slaa hakuzaliwa ndani ya CCM? unamjua slaa vizuri au umezaliwa juzi miaka ya 2000?Chadema ni majuha hayana akili. Lowassa aliyezaliwa ndani ya CCM walimuamini, alafu Leo wanasema hawamuamini slaa
NI HEKIMA MBOWE AJIVUE UENYEKITI KWA SASA NA AMPATIE SLAA.
Idugude acha ukinyonga leo hii wewe unachepuka na kudai kuwa sera ni za Wananchi na siyo chama?Dk Slaa kila mtu anajua kuwa sera hutokana maoni ya ya watanzania wote juu ya kile wanachokitaka kifanyike.
Acha porojo
View attachment 2531351
Mbowe mbona alishasema mwaka huu anapumzika.CDM, iandae utaratibu wa kumpokea slaa rasmi, unless ACT, atakuwa juu, kufanya mabadiliko sio dhambi, mbowe pumzika kwa sasa ili kuokoa chama!
Dk Slaa kila mtu anajua kuwa sera hutokana maoni ya ya watanzania wote juu ya kile wanachokitaka kifanyike.
Acha porojo
View attachment 2531351
Hakika www Ni pipoz haswaDhana ya Chadema kuwepo juu kutokana na mtu fulani ilimdanganya Mwendazake akawapa vyeo akina Silaa, Silinde, Nassari, Lijuakali na wengine, huku akiwapa Ubunge Halima Mdee na wenzake kwa mategemeo ya kuidhoofisha Chadema. Hii ni dhana potofu. Kilichopo ni kwamba, CCM ni sawa na Samaki aliyeoza. Hata ikitokea Freeman Mbowe akahamia CCM, Chadema itaendelea kuwa juu kwa sababu CCM imeuawa na Wanasiasa waliokikabidhi Chama hicho mikononi mwa Polisi. Kwa nini Waafrika hatujifunzi? Jeshi la Polisi la Makaburu lilikuwa na nguvu sana. Jiulizeni, kilichokuwa Chama Tawala cha Makaburu kiko wapi? Yale Magari ya kuwamwagia upupu wafuasi wa ANC ya Nelson Mandela yamehama Afrika Kusini baada ya kununuliwa na Jeshi la Polisi Tanzania, chini ya Chama cha Mapinduzi, CCM. Kwa nini CCM inashindwa kujifunza kutokana na Historia hii ya miaka ya karibuni?
Ubarikiwe sana MkuuChadema ni majuha hayana akili. Lowassa aliyezaliwa ndani ya CCM walimuamini, alafu Leo wanasema hawamuamini slaa