Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)


Kwa mawazo Haya, no wonder:

 
Hizi ni siasa tu za kutupiana maneno, Dr Samia ni Mwenyekiti wa CCM akishutumiwa kuingilia mambo ya Chadema wala sio jambo la ajabu kwenye minyukano ya kisiasa.
 
Slaa hajawahi sema uongo miaka yake yote tokea kwa Mkapa hadi Sasahivi hata hakina Lissu na Mbowe walikuwa wakitembelea nyota ya Slaa,waga haropoki huyu Mzee ukiona ametamka kitu jua ananyaraka tiyari, aliwahi kumtaja Mkapa kwenye rist ya mafisadi wakati hakiwa rais.
 
Sema wangemuachia tu huyu mzee, wala sio SILAHA dhidi ya mfumo... Yeye ni SLAA dhidi yake yeye wa jana...

BTW, kwa upepo ulivyo wa kisiasa na ukizingatia huu ni mwaka wa uchaguzi na ukizingatia mijadala mbalimbali humu ya kidini, kisiasa, kiutamaduni na kikanda, basi mambo kama haya ya huyu Daktari yangekua yanashughulikiwa in a very secretive and friendly way, kuepusha taharuki mitaani.

Najaribu kujenga picha kubwa, nini anawaza Kitima/Kitime muda huu, nini anawaza Lissu muda huu and so forth na pande zote nufaika za taifa letu.

So nachelea kusema ni muhimu TUKAVUMILIANA kuepusha mengi zaidi mbele.
 
Wewe ni aina mojawapo ya wapumbavu walioko Tanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…