Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Huyu jamaa huwa simuamini hata kidogo, mtu ambaye alitoka CCM akaingia CHADEMA then akarudi kwenye mfumo huku akiishambulia CHADEMA. That shit of a person can't be trusted, anaweza akawa ameanzisha drama labda apewe tena ulaji serikalini au apokelewe na kuaminiwa na watu wa CHADEMA. He is playing the game he knows best, a political prostitute.Dr Slaa amekamatwa usiku huu.
Inasemekana amepelekwa kituo cha Polisi Mbweni.
Soma pia: Dkt. Slaa: Tundu Lissu anafaa kuwa Rais wa JMT leo na siyo Oktoba 2025...
Ni mchokozi...angetulia tu na ubalozi wake ama arudi kuwa katekista baada ya kufeli ukasisiDr Slaa amekamatwa usiku huu.
Inasemekana amepelekwa kituo cha Polisi Mbweni.
Soma pia: Dkt. Slaa: Tundu Lissu anafaa kuwa Rais wa JMT leo na siyo Oktoba 2025...
Hakuna mahala angesemea hao usalama wasiwepo. Inategemea alisema nini na kwa mtazamo wa taasisi.Kiusalama ni lazima ahojiwe. Mbaya zaidi alisemea Clubhouse ambamo watu wa usalama wa taifa lazima wamo. Na wanaweza kukurekodi kirahisi tu. Amejitakia mwenyewe.
Amandla...
Chukua Tano mkuu.Huyu jamaa huwa simuamini hata kidogo, mtu ambaye alitoka CCM akaingia CHADEMA then akarudi kwenye mfumo huku akiishambulia CHADEMA. That shit of a person can't be trusted, anaweza akawa ameanzisha drama labda apewe tena ulaji serikalini au apokelewe na kuaminiwa na watu wa CHADEMA. He is playing the game he knows best, a political prostitute.
He is an asshole..Huyu jamaa huwa simuamini hata kidogo, mtu ambaye alitoka CCM akaingia CHADEMA then akarudi kwenye mfumo huku akiishambulia CHADEMA. That shit of a person can't be trusted, anaweza akawa ameanzisha drama labda apewe tena ulaji serikalini au apokelewe na kuaminiwa na watu wa CHADEMA. He is playing the game he knows best, a political prostitute.
That's the strategy, na ndiyo wamempa kiki hivyo. Kumuamini huyo hypocrite ni ukichaa...sasa kumkamata si ndio mnasaidia kupata kiki?
kwani amefanya makosa gani?
kupata taarifa kutoka kwa mtu wa tiss ndiyo kosa kisheria?ni habari ngapi watu wanazipata kutoka kwa wafanyakazi wa tiss? Mfanyakazi wanatakiwa kimasharti kutoa Siri ?
Wanaweza kuwakamata wote, na uchaguzi ukaishia hapo kwa Lissu.Ataachiwa tu maana Tundu yupo atafuatilia
Hata kama….hiyo hailalishi yeye kunyanyaswa.Sema Slaa nae ni Hypo! Wacha akome.
Ukuu wa Wilaya seventies--Ahaojiwe, akanywe kuhusu kuzungumza mambo ambayo hayana ushahidi, kwa aliuoyasema anaweza kupandishwa mahakamani aidha aachiwe tu, Dk slaa amevurugika akili by physical appearance, sisi wataalamu wa saikolojia tunaona hivyo!, karata nzuri awekwe sawa apewe ukuu wa wilaya fulani (karatu)
sasa unalaumu nini wakati hujui kakamatwa kwa tuhuma za kosa gani?Aisee hiii nchi sasa huyo mzee kafanya Kosa Gani hadi wakamtoe kucha hao jamaa
Zab 127:2Dr Slaa amekamatwa usiku huu.
Inasemekana amepelekwa kituo cha Polisi Mbweni.
Soma pia: Dkt. Slaa: Tundu Lissu anafaa kuwa Rais wa JMT leo na siyo Oktoba 2025...
Fanya siasa zako, unazoona kwako ndiyo za kistaarabu, usiwapangie wengine namna ya kufanya siasa zao.Panawaka,
Zile Shutuma alizotoa Kwa Rais mnaona zipo sawa?
Hakuna siasa au harakati za vile tuache siasa za Kishamba.
----
Aina ya Siasa wanazofanya SyW zitawaponza wengi sana... Honestly..
Shutuma chafu sana dhidi ya Mbowe, Rais na watu wanomuunga mkono Mbowe.
Wasichojua hakuna kitu cha maana wanaweza panga CH kisivuje..
Sasa Dr. Slaa kadakwa wanahangaika kufanya updates CH na kutafuta mawakili bila hata utaratibu.
Vijana kuweni makini, mtaingia kwenye matatizo na wakukusaidieni hawatakuwepo
Hilo ndilo kosa la Dr SlaaAnahangaika kutafuta "nitoke vipi" ya kisiasa