Dkt. Slaa anadaiwa kusafirishwa Usiku huu (August 14, 2023) kuelekea Mbeya

Mnachezeshwa picha kali na stelingi silaa mhuni aliyesaliti Kanisa akaacha upadre akaoa, akasaliti chadema na sasa anawachezesha sindimba ala hamstuki.

Kiukweli nina uchungu na mali za watanzania ila hawa watu wanapiga hela tu. Imagine huu mchezo wameudaka chadema ndio maana unaona ACT wapo kimya na Zitto nao wanatafuta deal ya kusumbua CCM ili wapewe hela wakae kimya.

Hii nchi bana
 

Attachments

  • 20230810_014952.jpg
    71.8 KB · Views: 2
Mbona wanakomaa wasifike mahakama kuu ya Kisutu 🤣
 
Wewe ndio umempuuza ila watanzania wenye akili wanamuelewa.
 
Watukamate wote tu sasa haina namna tupewe uhaini. Nataman nchi nzima ivurugike huyu bi chao aachie kiti
 
Tuna polisi ya hovyo sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…