Dkt. Slaa anadaiwa kusafirishwa Usiku huu (August 14, 2023) kuelekea Mbeya

Dkt. Slaa anadaiwa kusafirishwa Usiku huu (August 14, 2023) kuelekea Mbeya

Mnachezeshwa picha kali na stelingi silaa mhuni aliyesaliti Kanisa akaacha upadre akaoa, akasaliti chadema na sasa anawachezesha sindimba ala hamstuki.

Kiukweli nina uchungu na mali za watanzania ila hawa watu wanapiga hela tu. Imagine huu mchezo wameudaka chadema ndio maana unaona ACT wapo kimya na Zitto nao wanatafuta deal ya kusumbua CCM ili wapewe hela wakae kimya.

Hii nchi bana
 
Attachments

  • 20230810_014952.jpg
    20230810_014952.jpg
    71.8 KB · Views: 2
Hii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika zinadai Kwamba Balozi Dkt. Wilbrod Slaa ambaye ni miongoni mwa Watetezi wa Bandari za Tanganyika, anasafirishwa Usiku huu kuelekea Mbeya, kwa lengo la kuunganishwa na 'wahaini' wenzake ili wafikishwe Mahakamani .

Utetezi wake wa Mali za Tanganyika umempa kesi ya Uhaini .

View attachment 2717521
Mbona wanakomaa wasifike mahakama kuu ya Kisutu 🤣
 
Asafirishwe na kufikishwa haraka sana maana hatuwezi kuwalea na kuwaacha watu aina ya Slaa wakiendelea kuchochea machafuko na vurugu hapa nchini kisa tu wamepewa na kuhongwa vifedha. Tulitegemea mtu wa umri wake atumie busara ,hekima katika kupima kauli zake kabla ya kufungua kinywa chake.lakini badala yake amekuwa mtu wa kuongea tu lolote linalotua katika kinywa chake pasipo kupima athari zake katika jamii na usalama wa Taifa letu.

Hata hivyo alichokuwa amesahau ni kuwa kwa sasa watanzania walishampuuza na hakuna mwenye akili Timamu awezaye kumsikiliza wala kumuunga mkono. Hakuna anayemuamini wala haaminiki machoni pa Watanzania.Ameshindwa kujiongoza acha aongozwe kwa sheria. Hastahili kuitwa Balozi maana ni Balozi wa kuhamasisha machafuko na uhaini kwa Taifa letu ,.Anataka serikali ipinduliwe baada ya kuona njia za halali hawezi kufanikiwa na kufanikisha ajenda zake.Hakuna wa kumuunga mkono wala kuambatana naye kikauli.
Wewe ndio umempuuza ila watanzania wenye akili wanamuelewa.
 
Watukamate wote tu sasa haina namna tupewe uhaini. Nataman nchi nzima ivurugike huyu bi chao aachie kiti
 
Hii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika zinadai Kwamba Balozi Dkt. Wilbrod Slaa ambaye ni miongoni mwa Watetezi wa Bandari za Tanganyika, anasafirishwa Usiku huu kuelekea Mbeya, kwa lengo la kuunganishwa na 'wahaini' wenzake ili wafikishwe Mahakamani .

Utetezi wake wa Mali za Tanganyika umempa kesi ya Uhaini .

View attachment 2717521
Tuna polisi ya hovyo sn
 
Back
Top Bottom