Dkt. Slaa: Polisi wamezingira nyumba ya Mwabukusi na Mdude

nimesikitika tu hakuna taya na viuno vilichopindishwa hapo kidogo wameteleza....
Ilitakiwa majambazi na waandamanaji haramu kadhaa wawe wanaita thimu badala ya simu, thatha badala ya sasa , humia badala ya umia n.k.n.k
 
Hayo Si majukumu ya police.

Wapo kulinda waandamanaji, raia na Mali zao.

Uoga wauzie wajinga, sio sisi tunaojitambua.
 
Hayo Si majukumu ya police.

Wapo kulinda waandamanaji, raia na Mali zao.

Uoga wauzie wajinga, sio sisi tunaojitambua.
Yes!
ni majukumu yao baraa-baraa kudeal papendikulali na kuwathibiti wazandiki majambazi, waporaji, waandamanaji haramu, kuatia adabu na kuwapatia vizibiti mwendo viounoni, kwenye sura midomoni, na tayari ili waache viherehere na iwe fundisho kwa wasaka tonge wengine
 
Slaa huyu ..huyu huyuu...
Nonsense.
 
Kwa nini wasitoke wakati walisema hawaogopi?

Pili kwani wafuasi wao wako wapi mbona Twitter Huwa wanaropoka sana si watoke mtaani? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Polisi wanawazuia watanganyika kutekeleza haki yao ya kikatiba, ajabu sana, yani polisi wamegeuka wavunja sheria huku upande wa pili wao wakitaka kutii sheria bila shuruti, tuna jeahi la hovyo sana, limejaa wajinga wasiojielewa.
 
Polisi wamewahi kuwalinda
 
Wasmbieni akina Mwabukusi na Mdude na Slaa kama hawana au hawajui wafanye nini basi tutawasaidia. Huu ujinga wa maandamano siyo utamaduni wetu.

Hata wakilazimisha hawatafanikiwa
 
Kalamu,

Uliuliza ni njia zipi zitatumika kuhakikisha tunapata Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya 2025,

Naamini umeanza kuelewa.
Asante sana mkuu 'Rabbon', kwa kunikumbuka katika haya mapambano yetu.

Kuhusu "kuanza kuelewa" kwangu, nipe muda nitafakari vizuri haya yanayotokea sasa. Nadhani ni muhimu sana kwetu kuyaelewa vizuri kabla ya kuyajengea hoja humu.

Lakini kwa sasa, inatosha tu kwangu kutoa shukrani nyingi kwa juhudi wanazofanya hawa wazalendo wa nchi yetu.

Natumaini huu utakuwa mwanzo mzuri wa kuendelea mbele na juhudi zaidi.
 
Wasmbieni akina Mwabukusi na Mdude na Slaa kama hawana au hawajui wafanye nini basi tutawasaidia. Huu ujinga wa maandamano siyo utamaduni wetu.
Utamaduni wenu ni upi...? Nimeacha kujazia maneno hapo kukustahi tu, mtu kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…