Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Wewe kwa akili zako za kuvukia barabara na kufugia nywele unafikiri kuna mapinduzi yalipangwa kufanyika?
Hii maana yake nini:

"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"
 
Kawe wakili wake dada

Watu wengi huwa hawaelewi , kuna wakati niko nchi fulani Europe , kuna mvietnam alimtania jamaa mmoja mlatino kwa kumwambia I will kill you , Jamaa kaenda kushitaki mahakamani . Kule Mvietnamu akajitetea kuwa alikuwa akimtania tu jamaa . Mahakama ikampiga faini kubwa kwa kosa hilo.
 
Kuwa Mwanasiasa au Mwanaharakati hakumaanishi kuwa uvunje sheria za Nchi.
 
Sawa!

Lakini wewe ndiye uliyeanzisha mada nami! Ulinijia sikukujia! Cha ajabu unapandwa na ghadhabu!
Umejuaje nimepandwa na ghalabu wakati hunioni? Nikikuambia nenda Youtube u-search ni kupandwa na ghalabu!
 
Si tuwasubiri hao mawakili ?? usiandikie mate na wino upo
Aliyesema juu ya utetezi ni nani? Si wewe? Na kwani nimesema tusisubiri mawakili? Onyesha popote niliposema tusisubiri mawakili lasivyo wewe ni just another idiot!
 
The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa

Kwa hii kauli Dr Slaa anaweza kuchezea Kitanzi
Serikali ipi sasa?,maana haijatajwa hapo kama ni serikali ya instagramu?hio kesi haina mashiko
 
Back
Top Bottom