Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

WANAUKUMBI.
Hii ni kauli ya Dr Slaa.
Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi

"Najua kuna viongozi wanakaa Dodoma na wengine Dar es salaam, pamoja na kuwa maandamano haya ya kuipundua Serikali yatafanyika mikoa yote, mimi nitakuwepo Dar es salaam au Dodoma kuongoza wananchi wa eneo hilo kwenda kwenye ofisi za umma"

"Sasa hivi bado tunatumia mabomu ya mikono, bado hatujaanza kufungua silaha zenyewe za maangamizi, muda sio mrefu tutawafuata walipo tukiwa tumekamilika"

"Ufanyike mkutano mmoja mkubwa Mbeya, baada ya Mkutano maandamano ya kuipindua Serikali yaanze, Vituo vya Polisi vipigwe moto, ofisi za CCM zipigwe moto, lazima tufanye maandamanobya fujo nchi nzima hii iwake"
Mkuu una audio ya kauli hizi? Unaweza kutupa tarehe, muda na sehemu zilipotolewa?
 
Weka link. Kama huwezi wachana nayo, yaliyowekwa haoa yanatosha kabisa, wakili yoyote kuamuwa wana kesi ya kujibu.

Watadunda nenda rdi mahabusu na mahakamani mpaka uchunguzi ukamilike.
Hapa ndio unakiri kumbe hata nyie ushahidi hamna, zaidi ya hizi kelele alizoweka hapa huyo mjomba wako aliyepotea muda mrefu...

Kesi ya uongo ndio maana mnategemea nenda rudi mahakamani ziwaokoe.
 
Yaani na wewe unaingizwa king na AIGIPI Wambura? Unajua kumpindua Rais ilivyo? Hivi kwa akili yako Mdude, Mwabukusi na Slaa wanaweza kupanga kumpindua Rais hata akiwa nyuma ya huyo Mtu?
Lakini vilevile wanao Mawakili wa kuitetea serikali kuonesha huo uhaini wa kina Dr.Slaa au nikupotezeana muda tu kama walivyomshitaki Mbowe na kesi hewa ya Ugaidi!
Mimi naona Mama ndiyo Muhaini,kwanini anasaini mkataba wa kuuza njia kuu za Uchumi wa taifa!
 
Mama anakifua haswa kamuacha mpaka kajaa mwenyewe kwenye 18 sasa hiyo ngoma mwenye hamu aingie nae akaicheze
Hama Mawakili wa kuthibitisha hizo tuuma kama alivyoshindwa kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe!
 
Hapa ndio unakiri kumbe hata nyie ushahidi hamna, zaidi ya hizi kelele alizoweka hapa huyo mjomba wako aliyepotea muda mrefu...

Kesi ya uongo ndio maana mnategemea nenda rudi mahakamani ziwaokoe.
Hilo siyo tatizo.

Kumbuka, uhaini siyo mpaka ufanyike ndiyo liwe kosa, uhaini ni kuwa na ule mpango tu.
 
Mkuu una audio ya kauli hizi? Unaweza kutupa tarehe, muda na sehemu zilipotolewa?
Rudi hapo juu ipo video kabisa anaongea kwa jazba sana . Utamuona kabisa kwenye kideo babu dr mihogo akitangaza mapinduzi. Huyu mzee kabla ya kupandishwa kizimbani wakampime kama akili ipo sawa.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Hilo siyo tatizo.

Kumbuka, uhaini siyo mpaka ufanyike ndiyo liwe kosa, uhaini ni kuwa na ule mpango tu.
Huo mpango ulikuwepo wakiuoanga?

Au umejigeuza kasuku tu wa mtawala..
 
Hii kauli inampeleka huyu Mzee Big time hivi anashikaje waya wa umeme au kwasababu umeme hauonekani?
Ndio maana nawambia nyie nguruwe na kimbulu wa ccm jiendelezeni kielimu, nakupa mfano mwepesi wewe kuwadi la dpworld ili uelewe makosa hata kama ni mbumbumbu mfano, mtu akisema nitachukua panga niende nikamuuwe sabaya lile jambaz sugu lililokubali ujambazi mahakama kuu moshi, je nitashtakiwa kwa mauwaji ya sabaya huyo jambaz.
 
Mwambie mjomba wako aliyeleta huu uzi aweke sauti ya maneno aliyotamka Dr. Slaa yakifanana na hayo aliyoandika hapo juu..

Kinyume na hapo amejitungia hayo maneno, huu uzi utastahili kufutwa.

Msituletee utani wa kitoto hapa, siku zote akili hamna, halafu thread zenu zikifutwa unalalamika mods wakristu..
Angalia video ipo hapo juu anaongea Dr.mihogo " Live" bila chenga

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Aliyeleta huu uzi anatakiwa aweke video inayothibitisha Dr. Slaa akitamka hayo maneno kama alivyoyaandika, kinyume na hapo, huu uzi ni wa kutunga, uliolenga kumchafua Dr. Slaa usiostahili kuendelea kuwepo hapa.

Mods kazi kwenu.
 
Vijana msijidanganye hapa kuwa kosa la uhaini ni kama makosa mengine, kuwa mpaka kuwe na ushahidi wa kufanyika. Uhaini ukishafanyika ndiyo tayari tena hakuna kesi hapo.

Kosa lq uhaini ni kama hivi mnavyoona, kuwahiwa mapema kabisa.

Kwa kauli hizo post #1 kamamkweli ni zao, huo ni i uhaini 00%.

Tena hilo la kuchoma moto, ni zaidi ya uhaini huo.
 
Aliyeleta huu uzi anatakiwa aweke video inayothibitisha Dr. Slaa akitamka hayo maneno kama alivyoyaandika, kinyume na hapo, huu uzi ni wa kutunga, uliolenga kumchafua Dr. Slaa usiostahili kuendelea kuwepo hapa.

Mods kazi kwenu.
Mbona unakua mbishi kama dagaa? Video ipo juu mwanzo huko angalia usiendelee kukaza shingo ebo.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom