Dkt. Slaa: Wapo viongozi walichaguliwa kwa uchaguzi unaopatikana Tanzania tu

Dkt. Slaa: Wapo viongozi walichaguliwa kwa uchaguzi unaopatikana Tanzania tu

Sitawapa salamu nimechafukwa

Dr. Slaa anaeleza kwamba Mahakama ilishatengua ubunge wa wabunge waliopita bila kupingwa ikiwepo Waziri Mkuu.
Anasema hana imani na Bunge kwa sababu lina wabunge wasiotambulika kikatiba.
Kwa sababu Mbunge wa Ruhangwa ni batili maana yake nchi haina Waziri Mkuu halali.

Dr. Slaa kachefukwa mno
Kipindi hicho yanafanyika haya alikuwa swideni. Mbona hakupaza sauti ya namna hiii
 
Dkt Slaa ni mhuni tu tangu aseme alikuwa anashindia na kulalia mihogo alipokuwa katibu mkuu wa CHADEMA nimemuona ni mchumia tumbo Pro max.
Alipokuwa balozi Sweden enzi na jiwe alikuwa ni mzee wa kusifu na kuabudu.
 
Ndio mwisho wa kuwaza kwako? Kwa hio kila anaye toa maoni tofauti anataka asali? Watanzania milion 60 tunapaswa kuwaza sawa?
Hivi unaujua utamu wa asali au unausikia, alipokuwa balozi mlisikia akiongea? halafu anajua wazi PM na Raisi haziivi, anajiongelesha apewe buyu la asali.
 
Sitawapa salamu nimechafukwa

Dr. Slaa anaeleza kwamba Mahakama ilishatengua ubunge wa wabunge waliopita bila kupingwa ikiwepo Waziri Mkuu.
Anasema hana imani na Bunge kwa sababu lina wabunge wasiotambulika kikatiba.
Kwa sababu Mbunge wa Ruhangwa ni batili maana yake nchi haina Waziri Mkuu halali.

Dr. Slaa kachefukwa mno
Slaa huu ndiye ninayemjua halisi asiye na rushwa
 
Sitawapa salamu nimechafukwa

Dr. Slaa anaeleza kwamba Mahakama ilishatengua ubunge wa wabunge waliopita bila kupingwa ikiwepo Waziri Mkuu.
Anasema hana imani na Bunge kwa sababu lina wabunge wasiotambulika kikatiba.
Kwa sababu Mbunge wa Ruhangwa ni batili maana yake nchi haina Waziri Mkuu halali.

Dr. Slaa kachefukwa mno
Ulivyokua balozi uchaguzi2020 ulikua free, fair and Credible, hapo hapakua na shida yeyote. Kutemwa na kupigwa chini ubalozi waziri mkuu kasim majaliwa si halali, Urais wa Samia Suluhu ni wa wasiwasi. Ama kweli dunia ni mviringo
 
Majaliwa nape na wengine watoke bungeni sio wabunge halali
 
Hiyo kesi ya wabunge waliopita bila kupingwa kwa ujumla wao ilifunguliwa lini? mahakama ipi?

Tukumbushane.
Acha ututusa

Kwani Katiba ya JMT ni ya lini na mara ya mwisho imerekebishwa lini?

Ni vile tu hatuna Chama cha Upinzani makini hao Wabunge wangeshafurushwa kitambo!
 
Back
Top Bottom