Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Usishindane na mwanamke,siyo mwenzio yuleApewe tu maana tangu alipostaafu ubalozi yule mkewe kamkimbia na kabaki Canada
Ukute keshaomba Political Asylum,na kapata bwana wake wa kizungu anakula zake pensheni
Naona kaona ujinga atoke Canada aje aishi Ibwera pale Bukoba Vijijini
Atoke kwenye Baga aje kwenye bitoke kweli,ujinga huo
Mwache ale pensheni yake