Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Kuna watanzania wajinga sana aisee. Sijui wapewe elimu gani wajitambue Slaa kasema ukweli.Ndio mwisho wa kuwaza kwako? Kwa hio kila anaye toa maoni tofauti anataka asali? Watanzania milion 60 tunapaswa kuwaza sawa?