Dkt. Slaa: Wapo viongozi walichaguliwa kwa uchaguzi unaopatikana Tanzania tu

Tuseme kwa urahisi tupo kwenye serikali ya mpito kumalizia kipindi cha marehemu Magufuli, tungojee 2025 kwenye uchaguzi mkuu tutapata waziri mkuu makamu na rais
 
Huyu mzee anataka asali tu, akilambishwa anakaa kimya.
Ashalamba ya kutosha hana njaa kama wewe.


Although unategemea nani aongee mambo kama haya alafu isionekane anataka asali?.

Wakati mwingine tufiche ujinga wetu kwa kukaa kimya.
 
mkataba bandari
 

Attachments

  • images.jpg
    28.2 KB · Views: 1
Kumbe kulikuwa na kesi juu ya wabunge kupita bila kupingwa na mahakama ilishatoa hukumu?
Sauti kutoka chato ilikufunika blanket zito. Asali uliyokuwa unalamba ilikupofusha kabisa juu ya hilo swala
 
Mtu anapiga mbinja kijiji kinaibiwa, kijiju kitaacha kufukuza mwizi kwa sababu mpiga mbinja alikuwa mwizi? Hovyoooo
Kuwa na msimamo kama mwanaume, wanawake anatongozwa leo anaachwa anasema wanaume ni mbwa, kesho anakuja yule yule mwanaume na maneno matamu zaidi analiwa mzigo anaachwa tena again and again,Slaa anatafuta attention anajua wananchi wengi wamechukizwa na suala la bandari na anatumia fursa kurudi kwenye spotlight alisha sahaulika, huyo mzee ni fundi wa kucheza na psychology za watu.
 
Na Nape Pia ni batili alipitia bila kupingwa
 
Siasa za Dr Slaa zinavutia lakini ndiyo hivyo Hana msimamo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…