Kilimbatzz JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 9,134 Reaction score 14,593 Jun 14, 2023 #81 Prince Kunta said: Apewe tu maana tangu alipostaafu ubalozi yule mkewe kamkimbia na kabaki Canada Click to expand... Usishindane na mwanamke,siyo mwenzio yule Ukute keshaomba Political Asylum,na kapata bwana wake wa kizungu anakula zake pensheni Naona kaona ujinga atoke Canada aje aishi Ibwera pale Bukoba Vijijini Atoke kwenye Baga aje kwenye bitoke kweli,ujinga huo Mwache ale pensheni yake
Prince Kunta said: Apewe tu maana tangu alipostaafu ubalozi yule mkewe kamkimbia na kabaki Canada Click to expand... Usishindane na mwanamke,siyo mwenzio yule Ukute keshaomba Political Asylum,na kapata bwana wake wa kizungu anakula zake pensheni Naona kaona ujinga atoke Canada aje aishi Ibwera pale Bukoba Vijijini Atoke kwenye Baga aje kwenye bitoke kweli,ujinga huo Mwache ale pensheni yake
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 Jun 14, 2023 #82 Bejamini Netanyahu said: We naye ni zwazwa haswa Click to expand... Ndo maana nimeuliza, kwa hili jibu lako naona nawe kama mimi tu!
Bejamini Netanyahu said: We naye ni zwazwa haswa Click to expand... Ndo maana nimeuliza, kwa hili jibu lako naona nawe kama mimi tu!
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 Jun 14, 2023 #83 johnthebaptist said: Acha ututusa Kwani Katiba ya JMT ni ya lini na mara ya mwisho imerekebishwa lini? Ni vile tu hatuna Chama cha Upinzani makini hao Wabunge wangeshafurushwa kitambo! Click to expand... Hujajibu swali langu bado, nawe tutusa tu.
johnthebaptist said: Acha ututusa Kwani Katiba ya JMT ni ya lini na mara ya mwisho imerekebishwa lini? Ni vile tu hatuna Chama cha Upinzani makini hao Wabunge wangeshafurushwa kitambo! Click to expand... Hujajibu swali langu bado, nawe tutusa tu.
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 Jun 14, 2023 #84 MTAZAMO said: Kumbe kulikuwa na kesi juu ya wabunge kupita bila kupingwa na mahakama ilishatoa hukumu? Click to expand... Ndio nimeuliza hii kitu, ajabu naitwa zwazwa na tutusa na walioshindwa kunijibu!.
MTAZAMO said: Kumbe kulikuwa na kesi juu ya wabunge kupita bila kupingwa na mahakama ilishatoa hukumu? Click to expand... Ndio nimeuliza hii kitu, ajabu naitwa zwazwa na tutusa na walioshindwa kunijibu!.