Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Ni mshirikina huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muambie mleta mada alete video kuhusu huu mjadala.mumuonye na mmkanye aache kuuhusisha uislam wenu na ushirikina
Uislam unakataza IT IS FORBIDDEN kushirikiana na majini.Nimekuelewa, ingawa sasa matendo ya viongozi na maneno yao ya kiimani wanayoyatenda huku mitaani, nadhani yamechagiza baadhi kuisema isivyofaa imani hiyo.
Utakuta mhusika ni Imam, Shekh au Usitadhat ila anahubiri habari za majini na ushirika wake na Waislam au anamiliki kiringe kihalali kwa ajili ya tiba zinazohusisha majini.
Nimeelewa wafanyayo hayo, wako kinyume na Uislam ingawa bado wanaitwa/wanajiita Waislam.
Hakuna sehemu nimemdharau kama ipo unaweza kuonesha kila neno langu nimeweka na dalili na ningependa uweke pia .Na ni bora umeandika Allah anajua zaidi umetokea hapo. Vinginevyo unahitaji kujifunza dini zaidi na zaidi kuna vitu vingi hujui, japo alhamdulillah kwa iliyonayo ili kabla kupinga jifunze zaidi.
Huyo Sule huwezi kumpangua kwa hoja na kwambia wewe hapa umeonyesha kumdharau lakini kahifadhi Quran nzima moyoni na kichwani pia kahifadhi biblia nzima kichwani iweje umbeze jana kwamba hana kitu? Acha kabisa hilo
Kuhusu majini Dkt Sule yuko sahihi Kama muislam ana elimu kuhusu nayo pasi na kumshirikisha Allah basi anaweza kufanya nayo kazi kwani Nabii Suleiman majini na binadamu ndio waliojenga hekalu alikua akiwasimamia na alikua na akiwapangia kazi mbalimbali kwa jinsi anavyotaka na Allah ametwambia Nabii hakukufuru.
Aya nitakuwekea inshaallah
Msingi upi ? Umesoma surat sad aya ya 35 mpaka ya 37? Na je? Hiyo elimu unayoongelea wewe Mtume muhammad (peace be upon him) aliwahi kuielezea popote? Je alifundisha du'a ya kuyaita majini? Je umesoma surat jini aya ya 6?Quran 27:17 Na alikusanyiwa Suleiman majeshi yake ya majini, na watu na ndege nayo yakapangwa kwa nidhamu.
Msingi wa wakuyatumia majini uko hapo binadamu mwenye elimu juu ya anachokifanya bila kumshirikisha Mwenyezi Mungu majini ni kama mbwa unatuma anakufanyia kazi zako sema wasio kuwa na elimu ni waoga kwakua hawana elimu na kuzusha vitu someni mjue
Sio sahihi kuyatumia bali kuyatiisha.Msingi upi ? Umesoma surat sad aya ya 35 mpaka ya 37? Na je? Hiyo elimu unayoongelea wewe Mtume muhammad (peace be upon him) aliwahi kuielezea popote? Je alifundisha du'a ya kuyaita majini? Je umesoma surat jini aya ya 6?
Elimu yako unaitolea wapi mkuu ? Au unafuata tu mkumbo ? Allah( the almighty) akuongoze na atuongoze na sisi mkuu fuata msingi wa kweli msingi wa salafi swalehe msingi wa wema waliomfuata mtumw achana na mambo ya kuzusha.
Hebu soma hapa
Sad 38:35
قَالَ رَبِّ ٱغْفِرْ لِى وَهَبْ لِى مُلْكًا لَّا يَنۢبَغِى لِأَحَدٍ مِّنۢ بَعْدِىٓۖ إِنَّكَ أَنتَ ٱلْوَهَّابُ
Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani
Akasema: Mola wangu Mlezi! Nisamehe na unipe ufalme usio mwelekea yeyote baada yangu. Hakika Wewe ndiye Mpaji.
Sad 38:36
فَسَخَّرْنَا لَهُ ٱلرِّيحَ تَجْرِى بِأَمْرِهِۦ رُخَآءً حَيْثُ أَصَابَ
Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani
Basi tukaufanya upepo umtumikie, ukenda kwa amri yake, popote alipo taka kufika.
English - Tafsir Ibn Kathir (Abridged)
Sad 38:37
وَٱلشَّيَٰطِينَ كُلَّ بَنَّآءٍ وَغَوَّاصٍ
Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani
Na tukayafanya mashet'ani yamtumikie, wote wajenzi na wapiga mbizi.
Kupitia aya hizo hapo tunagundua kwamba nabii sulaiman (peace be upon him) aliomba dua na Allah (the almighty ) akamjibia kwa kumpa ufalne wa dunia hii .
Sasa wewe unayekuja na kauli kwamba inafaa kuyatumia utupe dalili maana kama mtume muhammad (peace be upon him) hakuyatumia popote pale zaidi ya kuyalingania kuja kwenye uislamu (maana alikuwa mtume hivyo sishangai yeye kuweza kuongea nao na kuwalingania ) ila hakuna aya, hadith wala riwaya inayofundisha namna ya kuyatumia .
MKUU TUSOME DINI KWA MSINGI WA SALAFI SWALEH.
NA ALLAH ANAJUA(THE ALMIGHTY) ZAIDI
Dini ya ukweli ni Ile ambayo papa wenu anawahamasisha muwe mashogaDini ya mashetani
Dini ni utaahira, sio uislam Wala UkatolikiDini ya ukweli ni Ile ambayo papa wenu anawahamasisha muwe mashoga
Sawa huo msemo waarabu wa zamani huutumia kwa mtu ambaye anaelewa mambo kwa shida sana au kinyume kabisa au yule slow learner wa mwisho kabisa, mfano tunajua kuwa mfumo wetu wa usafirishaji umejaa utapeli wa hali ya juu kupitia kwa maagent na wazee wa kujazia nauli za ziada juu ya nauli ya halali, halafu utokee wewe kutoka huko maporini useme yaani hizi nauli ndio nauli za serikali kabisa!.andika kiswahili au kiingereza wewe, mimi sijui kiarabu
Nikuulize wew mfuasi wake. Unaeza kuta ana PhD 😄Dkt ..ukiwa na maana ya Medical doctor au Phd?
Sahihi kabisaNimekuelewa, ingawa sasa matendo ya viongozi na maneno yao ya kiimani wanayoyatenda huku mitaani, nadhani yamechagiza baadhi kuisema isivyofaa imani hiyo.
Utakuta mhusika ni Imam, Shekh au Usitadhat ila anahubiri habari za majini na ushirika wake na Waislam au anamiliki kiringe kihalali kwa ajili ya tiba zinazohusisha majini.
Nimeelewa wafanyayo hayo, wako kinyume na Uislam ingawa bado wanaitwa/wanajiita Waislam.
Kama dokta sule amehifadhi Qur'an mimi natoka hapa JF najiuzulu kabisa uanachama, hivi unaijua Qur'an au unaiskia unadhani ni katiba hiyo? huyu hapa al ustadh al kabiyr mazinge ni mwenzie na dokta sule nadhani unamjua msikilize anavyoisoma hiyo Qur'an, hawa watu wako mbali na elimu na hawana maarifa wamepotea na wanawapoteza wenzao.Na ni bora umeandika Allah anajua zaidi umetokea hapo. Vinginevyo unahitaji kujifunza dini zaidi na zaidi kuna vitu vingi hujui, japo alhamdulillah kwa iliyonayo ili kabla kupinga jifunze zaidi.
Huyo Sule huwezi kumpangua kwa hoja na kwambia wewe hapa umeonyesha kumdharau lakini kahifadhi Quran nzima moyoni na kichwani pia kahifadhi biblia nzima kichwani iweje umbeze jana kwamba hana kitu? Acha kabisa hilo
Kuhusu majini Dkt Sule yuko sahihi Kama muislam ana elimu kuhusu nayo pasi na kumshirikisha Allah basi anaweza kufanya nayo kazi kwani Nabii Suleiman majini na binadamu ndio waliojenga hekalu alikua akiwasimamia na alikua na akiwapangia kazi mbalimbali kwa jinsi anavyotaka na Allah ametwambia Nabii hakukufuru.
Aya nitakuwekea inshaallah
Kama unaamisha kuyaamuru yatoke kwenye mwili wa mtu kwa amri ya Allah( the almighty) i.e ruqya ni sahihi kinyume na hapo ni SHIRKI .Sio sahihi kuyatumia bali kuyatiisha.
Kuyatumia ni sawa na kushirikiana nayo,hivyo ni haram.
Sawa kijana wa padri.Dini ya mashetani
wachawi wamekuwa wengi sana, wanachofanya ni kuchagua dini ya kujinasibu nayo ili wawakamate kisawasawa wateja wao walioko huko.Hao ni Majahili(Wajinga/Wapumbavu) tu wa Uislamu.
Amesema Mtume Wa Allah" Umeanza Uislamu ukiwa mgeni na utaendelea/rejea kuwa mgeni basi hongera kwa wageni"
Hao wanachanganya mila zao za mizimu kama Yericko Nyerere na Uislamu.
Huyo Sule ni mfanyabiashara wa dini (Tijaru dini) kama walivyo akina Mwamposa tu. Anatajirika kwa jina la dini, amekuwa mchawi(mfuga majini) mwenye jina la kiislamu.
Kuna kuyaamrishwa kwa namna tofauti.Kama unaamisha kuyaamuru yatoke kwenye mwili wa mtu kwa amri ya Allah( the almighty) i.e ruqya ni sahihi kinyume na hapo ni SHIRKI .